Slaa awalipua Rostam, Riziwan

Ntamuomba Mungu Atuongezee japo miezi miwili tu, yaani mwaka huu uwe na miezi kumi na minne ili tujue na tuuone mwisho wa hili muvi....
 
si ndicho jamii ianachotaka, akithubutu tu atakuwa amefupisha mchakato wa kumjua vizuri . Maisha yanaendelea lakini wadau wana data, na hivi kwenye mchakato wa 'kuvuana magamba' mengi yatajulikana tu!
 
Mdau ungetupa walau kwa ufupi huo 'utajiri mkubwa' unaanzia wapi hadi wapi. Hizi statement za jumla jumla zina kama harufu ya majungu hivi! Yaani tuambie kwa mfano, Mzee wa Kijiji ana nyumba sabini, magari ya kifahari 20, viatu jozi mia, nk. Anayesoma anajua kweli huu ni utajiri mkubwa. Lakini kusema tu dogo Ridhwani ni tajiri mkubwa haina tofauti na wale vijana wa kijiweni waliomzushia Nyerenere kuwa ana viwanda vya meli Sweden!
 
Huyu dogo tunajua kuwa amepata madaraka juzi ndani ya UVCCM. Sasa tunashangaa endapo habari hii itakuwa kweli na ni lazima watanzania wafahamishwe wapi alikopata mabilioni haya. Biashara gani anafanya, anamiliki kampuni ipi na ilisajiliwa lini na kodi zipi amekuwa akilipa tangu alipopata madaraka. Tofauti na hivyo, huu ni ufisadi ambao hauwezi kufumbiwa macho na wanatanzania wanayo haki ya kujua wapi alikochuma, vinginevyo aongezwe kwenye list ya mafisadi.
 
Ridh1 nasikia kawa bilionea ghafla, ukisema Mufti anaona kama udini.Je,kaupataje huo utajiri??? How many moslemz hawana hata mlo mmoja?? UTAIFA kwanza!!!!!
 
kweli tunafumbuliwa mengi huyu dogo pesa alizo nazo ni nyingi sana nasikia hata magari yake ya kifahari yalipitia bandari ya tanga kutokea zanzibar na aya kulipiwa ushuru hata cent huyu ni mwizi sana mimi hata sitaki kumsikia
 
280 bilion kwa kweli hapa ndipo umuhimu wa kuwa na kiongozi kama Dr Slaa huyo RIZWANI kama ni bilioni hiyo n hela ya baba yake anamshikia tu kwa muda,

Wakuu,

Lets be fair, if Rostam angekua anapata hizo pesa kihalali isingekua shida, teh problem hapa ni namna ya kuzipata

VITA YA UFISADI NI NJEMA ILA TUSIPOANGALIA ITAFANYA TUCHUKIE TAJIRI YOYOTE HATA ALIYEPATA PESA KIHALALI

THANSK DR. WA UKWELI KWA KUENDELEA NA VITA, NIMEKUPA TANO KWA KWENDA KUMCHINJIA BURUSHI KWAO
 
baba slaa sisi vijana tupo nyuma yako,we sema ukweli daima.wewe ndiye rais wetu ujaye.huyu ****** mwizi tu.yeye na familia yake wezi tuuu.hana lolote.alikwenda kumtetea rostam na kumuombe kura,leo anasema afukuzwe chamani.mi nasema kuna mapacha wawezi wa nne na si wa 3,coz tuna mjumisha na ****** wanakuwa wa 4.
 
Hivi kama ana ushahidi si awapeleke mahakamani jamani, kwa niaba ya wananchi. Achukue hatua zaidi ya kutaja tu.
 
Tawala za kifalme mambo ya uarabuni jamani yalitaka kuingia Bongo
 

dr slaa wewe usiwasikilize hawa akina mapepo mbili,sisi wananchi si wajinga tena kwani hatuoni wananvyo fanya ccm? Tumeisha wajua na endeleeni kuelimisha wananchi wengi zaidi ili tuwatoe wnatusababishia umaskini kwa wizi wao! Nchi hii yetu wote bwana! Lazima tuwe wazalendo kwa hali yeyote.
 
Reactions: Ame

​

Prince Ridhiwani ana bifu na Lowassa ndio maana ghafla baba yake (Kikwete) kamgeuka Lowassa na kumtishia kumfukuza NEC kama asipojifukuza mwenyewe.

Source: Mwanahalisi la jana.
​
 
Reactions: Ame
Cha Muhimu ni kama hao RA na Ridwan wanalipia kodi hayo mapato yao! We should not be so much concerned about how much a person earns but if he pays to TRA the taxes due to state on his income.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…