siezi bishana nawe bana umeongea point.ndo maana siwamini wanasiasa.alikuepo obama akajidai mtu wa wanyonge kumbe mnafiki mkubwa.anapokea amri kutoka kwa mabanker,oil companies kama agip,chevron,military industries complex wanaenedesha vita ili silaha ziuzwe na makampuni ya mafuta yapate contracter,huku makampuni ya kina dick chen ,HALIBUTON yakipata tenda za kusupply jeshini kuanzia magari,chakula hadi uniform,itakua hapa.we need evidence
Kumbe Dr Slaa ndio Mwalimu wa Kuzomea! Hopeless!
matajiri wangapi vijana wamemaliza chuo juzi mbona hamuwafatilii ? Husda ndio zinawasumbua
Siamini kama kweli Ridhiwani ni tajiri kwani namjua sana. Hapa mzee umechakachuliwa. Hebu tutajie utajiri wake vizuri
Pesa zake au zetu tuwe makini jamani wanachota pesa huku wanapeleka huko ndio iwe pesa za jasho lake kha!wasukuma wakimkana kwamba sio msukuma ndipo nitaelewa lakini km sivyo` basi ni haki yake kula nchi kwani katiba ya ccm iko wazi kuwa mwenye uwezo wa kula nyama nyingi ni yule mwenye kisu kikali.................mwacheni rostamu wetu sisi ccm ametusaidia sana bila yeye kikwete asingeingia madarakani 2005 na km mnavyojua kikwete ametufanyia mengi sana...............mnafikiri tungeweza kupata rais km yeye hapa tz?......kwa hiyo rostamu kasaidia sana nchi hii ni haki yake naye kufaidi matunda ya jasho lake na pesa alizowekeza ccm na serikalini
halafu nimegundua mlengo wa kati wewe mwenyekiti wa mapimbi
Dr. Slaa unatuchezea kiini macho. Kama unajifanya hujui kuwa Chama chako kinafadhiliwa na hao mafisadi wanaofukuzwa CCM basi wewe ni kiongozi wa ajabu saana.
Hivi unamfahamu kiumbe mmoja anayeitwa Yusuf Manji? Je, unajua madhambi yake kwa watanzania? Inakuwaje mumruhusu kiongozi wenu tena mwenye heshima zake ktk jamii kumtetea fisadi huyu? Hili nitalizungumza kwa kirefu siku zijazo maana taarifa nilizokusanya zinatosha kuweka uozo huu hadharani.
Ningeweza kumuelewa Mabere Marando kama angekuwa amejiunga Chadema akiwa tayari ameingia mkataba wa kumtetea fisadi huyu wa kihindi anayewafanya watanzania wajinga na kwa ufukara wao.
Hii ishawahi kujadiliwa hapa JF na ikiwa bayana kuwao Marando ana haki ya kumtetea Manji. Ni mwanasheria na ndiyo kazi yake tofautisha hiyo na siasa au kumtetea kwenye kesi ya wizi au ufisadi ile ni kesi ya kudhalilishana. Hata kama atawatetea wezi wa wa EPA ni haki yake kufanya hivo ila akitoka hapo hapaswi kuwatetea kwenye majukwaa kama mwanasiasa. Ni ngumu sana kuelewa hesabu hii kwetu wabongo.
Umesema unamjua sana R1 kuwa hawezi kuwa tajiri; kumbe ndo walewale waliotumwa humu na wanaowajua kuja kuwatetea. Kumbe ndio maana unawatetea na kutafuta sababu za kuwachafua watu wanaowapinga. Ningekuwa mlipaji wako ningesitisha malipo make umewaumbua waliokutuma pasipo kujijua.
kumbe watu wengi wanaamini dr slaa atakuwa rais 2015Du, Ridhwani bilionea mwenye vituo vya mafuta 30 na nini tena? Kazi kwelikweli.....
Just thought - Ningependa kuwajua watoto wa Dr Slaa na mapema ili tuwajue na kuwapima pale baba Wilbroad atakapo kuja kuwa Rais...
... je Rizwan Kumiliki mabilioni ni kitu cha hatari? Naelewa kwa ufahamu wangu Rizwan ni mtoto wa RAIS na baba yake alikuwa waziri katika wizara nyingi sana hapa Tanzania kabla ya kuwa Rais; ninavyoelewa mimi Rizwan kumiliki Bilioni moja si kitu cha ajabu, eti kamaliza shule juzi ndio asiweze kumiliki hiyo ela haiingii akilini hata kidogo kwa mtoto wa kimasikini sawa ila Riz sio mtoto wa kimasikini akashindwa kujiingiza kwenye masuala ya kutafuta pesa...
Pepombili ni Riz. Dr.Slaa umesema ukweli.Kama Riz anaona ameonewa aende mahakamani ukatoe ushahidi unaothibitisha pasipo shaka lenye maana kuwa yeye si Bilionea.Kama Riz atakaa kimpya maana yake atakuwa amekubali kuwa yeye naye ni fisadi. Silence implies concerned. Nasubiri kwa hamu kesi itakayofunguliwa na Riz.
Riz naye apewe siku 90 ang'oke.Atoe gamba"skin shedding".