Slaa afunika Karagwe

Slaa afunika Karagwe

Hakuna mtanzania hajawahi kuumwa malalia( ngalau wa miaka 3 na zaidi) M4C itawafikia wote kama Malaria
 
Mikutano ndo inaanza kupamba moto. Kuna kitu karagwe. Akina Makatu wekeni picha.
 
Mtanke na wadau mlioko karagwe wapi updates jamani,mbona mmetunyima uhondo wa m4c?badala yake naona updates za magamba
 
Amefunika nn acheni uongo kwa mvua iliyopiga hata magari yalishndw kutembea labda alipanda punda

Nashukuru kwa kikiri kwamba CCM haijafanya chochote kuhusiana na miundombinu sehemu hiyo. Maana kama mvua ikinyesha magari hayapitiki sasa CCM ina mtaji gani hapo?. Hongereni chadema, hata kwa punda tutawafikia wananchi wote, kuwasiliza na kutatua matatizo yao tofauti na miaka 50 ya CCM.
 
Nilishasema humu F, msiwaamini watu wa vijijini, kwenye kura hawako hivyo! The most unprincipled guys. wanabadilika kwa Kanga, kofia and the like!!!!!
sio karagwe kaka mpaka leo hata CCM wenyewe hawaelewi walishinda vipi karagwe, kamuulize gosbert blandes mbunge wa karagwe anajua bila shaka yoyote kwamba kama sio dola yeye sio mbunge wa karagwe, ningeshangaa kama dr slaa asingepokewa kwa nguvu pale kwa sababu bado watu wanaamini lile ni jimbo la Chadema kama ilivyo shinyanga mjini
 
napenda mabadiliko, naipenda CDM kwa mtazamo wake kwa watanzania. Ila hao watu wa vijijini, hata mijini- njaa mwana malegeza, Si umeona, nilidhani Kinana atakosa watu Arusha, jana sikuamini umati ule. watu waogope, hasa hawa illiterates-even wasomi inapokuja kula-tumbo-
 
Waheshimiwa wadau, tunaomba pamoja na taarifa na picha pia muwe mnatumegea Dr. Slaa kasema nini.
 
Back
Top Bottom