Mkulu p
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 630
- 219
Maneno tu sijui km yalimo yamo
Twaweza acha andikia mate tukatumia wino... mie sina hiyana bwana
Maneno tu sijui km yalimo yamo
Mkuu Tyta hapo namba tatu kutoka kushoto ni ugonjwa wangu aisee, naweza kukabidhi ufunguo wa gari
Habari za jumapili wana Jamiiforums.
Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine tuna mioyo ya udongo kwa sababu mnapofanya kazi na sisi halafu karibia mapaja yote yapo nje jamani mnatufanya tufanye kazi ambazo hazina ufanisi maana mnatunyima concentration jamani vaeni basi sketi ndefu au kusema sketi fupi inaendana na mambo ya ofisini.
Jamani naombeni wakina miss chagga,evelyn salt, masai dada na wadada wengine mje na mpango wa kuvaa sketi ndefu kwa kushauriana na wengine muwape somo na kaka nyinyi mnavaa jamani acheni wengine jamani tuna mioyo ya petroli.
NB-niliowataja sio kwamba ndio wanavaa sketi fupi, nimewaomba wawashauri wasichana wengine japo mavazi ni uamuzi wa mtu lakini hapana jamani mtuuonee huruma jamani ili tuweze kufanya kazi kwa ufanisi.
NI OMBI TU HILO JAMANI
Twaweza acha andikia mate tukatumia wino... mie sina hiyana bwana
Hahaha kweli hutegeki good evening!
Na ungekufa masikini.Hahhahhaa umenikumbusha wakati nafundisha aiseeee, niliwafaidi sana sana. Si wananikalia uchi wenyewe, nilikua nawaaambaia kabisa mbele ya darasa kuwa asanteni nimeshawachungulia naomba mkae vizuri sasa tuendeleee na somo. I wish ningefundisha darasa kama hili. Nisingeacha ualimu hata kwa dawa si kiherehere chao wenyewe? kwani nimewatuma?
aiyaaa, ntake radhi sweetie wangu, huyo ni dadaangu kabsaaa!
Habari za jumapili wana Jamiiforums.
Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine tuna mioyo ya udongo kwa sababu mnapofanya kazi na sisi halafu karibia mapaja yote yapo nje jamani mnatufanya tufanye kazi ambazo hazina ufanisi maana mnatunyima concentration jamani vaeni basi sketi ndefu au kusema sketi fupi inaendana na mambo ya ofisini.
Jamani naombeni wakina miss chagga,evelyn salt, masai dada na wadada wengine mje na mpango wa kuvaa sketi ndefu kwa kushauriana na wengine muwape somo na kaka nyinyi mnavaa jamani acheni wengine jamani tuna mioyo ya petroli.
NB-niliowataja sio kwamba ndio wanavaa sketi fupi, nimewaomba wawashauri wasichana wengine japo mavazi ni uamuzi wa mtu lakini hapana jamani mtuuonee huruma jamani ili tuweze kufanya kazi kwa ufanisi.
NI OMBI TU HILO JAMANI
una ushauri gani kwa sisi walimu.....?
![]()
sisi walimu huwa tuna walindia tu.....
Jaman hz wamepandisha au