Habari zaa jumapili wana jamii forum
Moja kwa moja nianze kuwaomba dada zangu ambao wanatuvalia vimini ofisini punguzeni au acheni jamani wengine tuna mioyo ya udongo coz mnapofanya kazi na sisi halafu karibia mapaja yote yapo nje jamani mnatufanya tufanye kaziambazo hazina ufanisi maana mnatunyima concentration jamani vaeni basi sketi ndefu au kusema sketi fupi inaendana na mambo ya ofisini????jamani naombeni wakina miss chagga,evelyn salt, masai dada na wadada wengine mje na mpango wa kuvaa sketi ndefu kwa kushauriana na wengine muwape somo na kaka nyinyi mnavaa jamani acheni wengine jamani tuna mioyo ya petroli
NB-niliowataja sio kwamba ndio wanavaa sketi fupi,nimewaomba wawashauri wasichana wengine japo mavazi ni uamuzi wa mtu lakini hapana jamani mtuuonee huruma jamani ili tuweze kufanya kazi kwa ufanisi,NI OMBI TU HILO JAMANI