Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Mawazo ya kinjaa njaa kabisa!
 
Du huyu msanii atakaacha haka kakuku ka kienyeji kweli?
[HASHTAG]#free maxencemelo[/HASHTAG]
 
Kwani unadhani hajaelewa?huoni anavomsumbua maxence,na atashindwa tu mpango wake
Huyo mtu anashughulikiwa kisheria hakuna katiba iliyovunjwa alafu kumtaja mtu kibinafsi kwenye jambo ambalo ni official inaonekana Una mapungufu kiitifaki.
 
Waliompa ukocha wanajuta!!!
 
Sizonje timu tuipime miaka mitano anavyoipeleka mwaka mmoja bado Roma haikujengwa siku moja
 
da hiyo mwanamama kushoto. Ni nani na wapi hapo?
 
Dah nimecheka sana
 
Hii mechi bora iarishwe tu ukawa wanacheza rafu mno....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…