Sizonje usichanganyikiwe, Mambo bado!!

Wakuu mliochangia hapa napenda niwaarifu kuwa nimepata taarifa za uhakika toka chanzo makini kuwa Kocha wetu Sizonje huu uzi kausoma mwanzo mwisho na comments zenu...

Nawashukuru mlotuma ujumbe kwake. Moderator unaweza weka hii kama update.
 
Sizonje kapanga mabeki dhaifu maana hawajui kubana wao huachia tu,pesa za usajili anakula.Afu naskia juzi amemsitishia mkataba yule kiungo wake mahiri wa kuchezesha timu pale katikati[emoji40][emoji40] eti saivi anadai kashuka kiwango cha kukusanya kodi.Nikipata nauli nitakuja maana mtaani hali mbaya wachezaji tume choka wote sio wa timu yko pekee hata wale wa upinzani.
 
Kweli elimu haina mwisho hii ya paka ndo naijua leo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]!!
 
Haha mkuu kwa ukata huu wa kupigiwa mnada mali zetu jeuri hii umeitoa wapi? Hala hala asikusikie Sizonje maana hataki muishi kama malaika!!
Mkuu mimi ningekujua ulipo ningekuletea scania ya beer ya Kilimanjaro.

Wanaolia lia ni wale walioishi kwa msaada wa chama dola sisi wengine mbona kumechanua kwa kuishauri hii serikali ya Sizonge kwa pesa za wafadhili.

Kusoma kuzuri aisee. Wafadhili hawainusi serikali wanakuja kwetu wataalamu tunaotofautiana na Sizonge.

USHAURI WA KWANZA "this is an unpredictable government be careful. No policy, no strategies, no documented development programs and no competent technocrats just petty politicians"
 
Haha kweli mkuu... nasikia ktk pesa za wafadhili bilion 900 ni 100 bil tuuu zilizotolewa mpaka sasa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…