Sizipendi Black Berry

Sizipendi Black Berry

Yaani hiyo ndio sababu ya kuichukia hahahah mi nimeamua chukua bb ili niondoke kwenye ubishano wa apple na androids so nikaona niingie rim ila bbm sihitaji

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Hahahahaha poleee

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Yaani hiyo ndio sababu ya kuichukia hahahah mi nimeamua chukua bb ili niondoke kwenye ubishano wa apple na androids so nikaona niingie rim ila bbm sihitaji

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
...nakuona, ....sent from...
 
Mi naziita simu za kampuni, server zote za bb zinamilikiwa na kampuni kwa hiyo wanaweza kufanya watakavyo bila wewe kujua
 
Hatutaki marumbano mahakamani kila siku pia tunakuwa unique sio kila mtu na android

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
hamnishindi mie yaan cjawah kuwa na mzuka na bb kamwe
 
Mi naziita simu za kampuni, server zote za bb zinamilikiwa na kampuni kwa hiyo wanaweza kufanya watakavyo bila wewe kujua
Kwani wewe ni gaidi mpaka uwe mwoga kiasi hicho?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Tetesi tena?wewe ungesemanunapenda nini ndio tuweze jua jinsi ya kukuchamba.au tatizo fweza?unapenda kitochi au?
 
Haya watu na bb zao, 2natesana na sent from....! Haina tabu aseee Sent from my PinkBerry 8500 using OldonyosambuForums!
 
Napita. Ila ntarejea muda si mrefu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahahahaha! Janja ya sungura ya sizitaki mbichi hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom