Sizielewi sehemu hizi za siri

wewe pia utakua una shimo kubwa so ataanzisha uzi mda si mrefu apate msaada
 
Ni kama kuwa na gari Vitz ambayo umenunua kwa kujibana bana ukijua fika kuwa inakusaidia kwenye kubana matumizi ya wese halafu ukamuona jirani yako anaendesha Landcruiser kilimo kwanza ukalitamani wakati unajua wese lako la wiki nzima unalotumia kwenye vitz mwenzio anatumia siku moja. Ukipewa uendeshe unaanza kulalamika eti linakunywa sana mafuta. Jipange we dada. Grass may always look greener on the other side ila utakapothubutu kutoka na kwenda kule inapoonekana much greener ukakuta majani yamekauka ndo utakapoanza kujilaumu wakati ukiangalia ulipotoka ndo unazidi kuona kijani zaidi.
Mfano huu unahitaji saikolojia fikirivu kuweza kuuelewa. Najua hujanielewa. Utaelewa mwakani. Endelea kuusoma
 
duhh ashakukosa huyo,,mtafute anayekuridhisha akuoe,kama kwako mapenzi ni sex tu!!! La sivyo utakuwa unamcheat tu.
 
Shostito,kua na msimamo ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi,wewe ukiwa kama mwanamke umefanya jitihada gani au utundu gani mpaka ukahakikisha umeridhika? ebu rudi tena kwa bibi mulize nini ufanye uridhike na kabla hujaanza kumueleza huyo bwana kama ana pipi ya kifua akikisha unayo majibu ya maswali atakayo kuuliza,ukianzia kumbwa na utamu wake umeionjea wapi na kama yeye ndio alokufundisha maji usiite mma?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom