Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,125
- 101,017
Experience inanigomeaUkweli n upi?
Experience inanigomeaUkweli n upi?
Tushirikishe experience yakoExperience inanigomea
1. Mumeo alikuwaje?/Yukoje? Mbona usimtumie kama case study?nataka nijue plz
Ili iweje! Hapo jibu ndio au hapana😁Tushirikishe experience yako
Halafu hii sijaiona naipateje gawa hizo dhambi
Nitumie pm 😎Ili iweje! Hapo jibu ndio au hapana😁
Size au maelezo?Nitumie pm 😎
Mana mgongo wangu sielewi
Itakua kashakula hela sana sasa kamemkalia kooni kanataka chochote kitu😁😁😁 ndio yupo kujishauri atoe ama atapike pesaMuulize muhusika uliyempata,sisi tutajuaje sasa?
Kisayansi hakuna uhalisia wa hayo madai,
Naona umepata kabwana kafupi ila bado hujaamua ukakubali au la.
Vyote kwa pamojaSize au maelezo?
Sawa.Vyote kwa pamoja
Ndio,
Hiyo mbinu nilifundishwa na marehemu bibi yangu Mwenyeezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
Angalia kibiongo cha mwanaume yoyote upana na urefu ndio maumbile yake.
Hakunaga cha too late! ukiamua unaanza mwanzoLoh!! Ungesema mapema hii mbinu
Sasa ni too late kwangu
Hakunaga cha too late! ukiamua unaanza mwanzo
Tulia hapo hapo. huku nje kila mtu ana wake akitoka kaenda zoezi kupasha akimaliza anarudi alikotoka chap kwa haraka!Siwezi kusaliti niliyenae 😁
''Ile kitu inamesa mwensie'' huwa inameza tu bila kulinganisha?nataka nijue plz
Aibu ya nini sasaNingesema jambo ila naona aibu mimi😛