Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,965
- 14,519
Haya... Wanasema wameku miss sana aunty yao na wanakupenda pia 😍😂🙏🙏🙏wasalimu sana
Haya... Wanasema wameku miss sana aunty yao na wanakupenda pia 😍😂🙏🙏🙏wasalimu sana
Jambo la kushukuru hakika iyo nayo ni Hatua hongera ktk hiloNoo,watu hubadilika mkuu
Ameen my lovely sista 😍Barikiwa sana
maana ya 'Ulokole' ni nini ?Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani
Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema
Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema🙏🙏🙏
Teh 😂😂😂 teh teh teh haya bhana...😃😃Ujuavyo wewe mkuu🙏
Dhehebu gani ilo😎Amina
Oooooh wale wastarabu kwakwerLutheran