Siyo lazima uwe mlokole

Siyo lazima upige kelele wakati wa kuomba ndiyo uonekane wafanya ibada ya kweli,waweza sali kimyakimya na bado moyo wako ukapata amani

Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema

Sijui ila nahisi ni nyakati za kuomba ....hatujui siku wala saa tutakapofumba macho daima.Watu wanakufa kwa kasi kweli siku hizi....ajali,kuuana,vita....muda wowote waweza iacha dunia...usichoke kutenda mema🙏🙏🙏
To yeye my crush Leo ulilala ubavu gani naona umekumbusha wanakondoo wa Mungu wameopotea
 
"Siyo lazima uwe mlokole ndiyo utende mema,waweza kuwa mwema tu kimatendo na kimaneno bila kujiita mlokole....yatupasa kutenda mema"

Imenibariki sana,walokole ni viumbe wanafki wengi wao,siyo wote.
Napenda kutenda mema ila cpnd kuwa mlokole
 
Sio chupa tuu hata nikikutana Na Simtank au ujazo kama Bwawa la Umeme la Julius Nyerere sina tuu Shaka nitamudu vizuri mnoo
Unaijua Chupa ya Hennessy iliyojaa ilivyo?
Screenshot_20231026-233945.png
 
Back
Top Bottom