Six pack( and the abs)

Six pack( and the abs)

The Dude

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
1,029
Reaction score
464
Jamani nimechoka kuwa kimbaumbau!!
Mwnye kuweza kunsaidia namie nipate hizo six pack jaman,maana napata tabu sana daily!!
 
Hivi mchina hajatengeneza tu dawa za kupata hii kitu fasta?

Nashangaaa..yani hata hawa akina maji marefu wameishia kutengeneza kifaru tuu wametusahau sisi?Au uwezo wao ndo umefika mwisho?
 
Back
Top Bottom