utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,671
Mambo saaaaafi kaka, sijakuona kama siku mbili ivi
Last edited by a moderator:
mmhhh!hauna hela wewe au mbahili.
Aisee cjui nianzishe tuition ya kufundisha hii makitu!
Naona wateja wapo!
Ngoja nikamate fursa niende zao!
Aaaah good luck
Kwaio mnatoa kitu kipya?
kimtindo mkuu..! we need change sometimes!!
haka ni kaproject kadogo tu kanakoelezea maisha ya wanafunzi wa elimu ya juu!
Kama nataka mkuu nianze wapi kuitafuta?
usiwe na pupa mkuu..!
si unajua tena mtu akifakamia ugali wa mtoto nini kinatokea?