Fuata hayo mawaidha. Forgrt about the past utajifrustrate bure, angalia ya mbele,onyesha bidii ya maisha ya baadae, jitahidi kutafuta habari mbalimbaliili uwe na general knowledge hata unapozungumza uonekane una upeo mpana wa mawazo. Jitahidi kujisocialize kwa kushiriki social events mbalimbali. Ukumbuke kuwa Secondary ulikuwa mazingira mengine na sasa uku mazingira mengine jifunze vitu vipya mbalimbali ili uwezekucopena mazingira. All in all zingatia masomo piakwani ndio msingi wa maisha yakoya baadae!All the best.kama kwamanno huwezi tumia atavitendo.mfano..unapokuwa na umpendaye jalibu kutumia macho.au matendo yatakayoonyesha uhitaji wako kwake.mpelekee zawad zinazofikisha ujumbe.kama ni mwelewa na yeye kama atakuwa na hisia na wewe atarespond either kwa ishara or kwa maneno.ukiona hivyo unaweza ukafunguka kwa maneno sasa....nihayo tuuu...ukikosa kabisa njoo kwangu..
Atakuwa anapitia na kupata doze, Shalet uchanganye na za kwako ! Kwanza una confidence hiyo tu ni credit, kwani kujilipua si ,chezo hata kama ID haijulikani! Mwaka huu hutamaliza, utampata umpendae, halafu usiwe na haraka!DEMBA please usinielewe vibaya!!
naomba niseme mbele ya uma wa MMU japo sitataka ushauri wala comment zao! (watatibua bana!!!)
demba si kwamba nakupa sifa za mgongo wa chupa, hapana! demba wewe ni mzuri! hipsi unazo! ukitembea nahisi kama
unakuja kwangu vile! ukiniangalia nahisi unaniambia I LOVE YOU TOO! ukicheka nahisi kama unaniita nije unichum!
DEMBA please naomba uwe wangu..!!
(ngoja kwanza...!! hivi we shalet unapitia hizi rehearsalz?.. au mi najipigia kelele tu huku we umelala?)
Acha masihara[/QUOTE]besti..!
mmh! unajua, sina dhumuni la kukupotezea muda sana, ila ukweli ni kwamba,
kila ninapokuona, hata pale unapokuwa mbali nami.. najisikia sana kuwa nawe DEMBA!
please usichukulie kama utani kwa vile tunafahamiana! DEMBA nimetokea kukupenda kwa muda mrefu sasa!!
naomba unielewe besti!! please tafuta ventricle ama auricle yoyote uliweke PENDO langu kwako!
uff!!
hivi Mwl Evelyn Salt mbona nimezunguka mitaa yote sikuoni?
Kwani huyo mmoja uliyempata hakutoshi?habarin,
Pamoja na kuwa na wapenzi mbalimbali kwa muda mrefu nimegundua siwezi kutongoza kwani hata hao niliokuwa nao niliwapata kwa sifa za class akili hasa uwezo wangu wa hesabu na physics sasa na uongozi nilikuwa headboy hivyo walikuwa wanajileta tu nilipofika chuo hali ikabadilika ghafla nikitongoza nakataliwa kwa miaka mitatu nilimpata demu 1 tu kati ya 6 kitu kinachofanya nijihisi vibaya hasa ukizingatia nahtaji mchumba kwa sasa nashindwa kujua nifanyaje alie experience hii anisaidie kabla sijaenda kuombewa nilifikiria kurud kwa ma ex lakin wengine wameolewa mmoja kazalishwa na sitak kuoa mtu mwenye mtoto.
Kwani huyo mmoja uliyempata hakutoshi?
Hayo ungemueleza mtoa maada,unanuambia mimi tena?be a gentleman,have confidence,mademu wanaangalia usafi wa nywele na viatu na wanapenda uvae cheni,afu penda kuwasikiliza usionge sana,cheka hata kama hakichekeshi,penda kuwasaidia,waangalie machoni na siyo kwenye maziwa paka marashi ,usiwe mkali au mgovi,penda kutetea,zawadi ndogo kama pipi,chocolate yani utawakimbia