Siwezi kutongoza...

Siwezi kutongoza...

Ukiona wasichana wazuri waambie I hate u. Hapo utakuwa umemaliza kazi na utaopoa mlupo wa nguvu.
 
ok...waambie vijana wenzio wakufundishe au nitafutie peas kidogo nikufundishe ....
 
Mbona ishu za kutongozana zilishaisha siku nyingi na wewe? Watu wazima tunatoana "out" tu, na mambo yote yanaishia huko huko!
si ndio hapoa anataka mambo ya kuomba namba ya simu na usiku kutaka kumpigia simu masaa mawili wakati hata hela ya vocha harushi,siku hizi unamtoa dinner au lunch mara ya kwanza,mara ya pili mnaenda sinema mara ya tau beach ya nne club kama ni watu wa hivyo alafu ndio ntoleee hiyo,mkiamka asubuhi mnabdilishana majina mnaanza kuitana `baby`
 
tatizo lako unataka kucheza uefa kabla ya kuingia top four ligi ya nyumbani , anza kwanza na mademu wa kawaida ikiwezekaana hata mabeki tatu ukishwazoea ndio upande daraja sio unajijua domo zege,stori huna hela huna alafu unataka demu classic?? yatakukuta yaliyowakuta manchester ohoo!!
 
kama kwamanno huwezi tumia atavitendo.mfano..unapokuwa na umpendaye jalibu kutumia macho.au matendo yatakayoonyesha uhitaji wako kwake.mpelekee zawad zinazofikisha ujumbe.kama ni mwelewa na yeye kama atakuwa na hisia na wewe atarespond either kwa ishara or kwa maneno.ukiona hivyo unaweza ukafunguka kwa maneno sasa....nihayo tuuu...ukikosa kabisa njoo kwangu..
 
Hatari! ! Si ungeandika tu unatafuta mke wa kuoa humu jf kuliko kutaka ufundishwe kutongoza?? Hebu maliza masomo bhana! !
 
Outing mara tatu ya nne kwisha habari, hakuna kutongozana tena, mapenz ya ki Digital hayo... hapana chezeya JF
 
Kua nao marafiki,then uwe unawatoa out sehemu kali kali,zawadi za hapa na pale wenyewe wanaita caring,wakikupiga mizinga ya hela we toa tu + uwe mjanja mjanja na muongo sanaaa...na ukiwa na usafiri na pesa nafasi yako ya kuwapata inaongezeka...good luck😜
 
siku hizi unamtoa dinner au lunch mara ya kwanza,
mara ya pili mnaenda sinema
mara ya tau beach ya nne club kama ni watu wa hivyo alafu ndio ntoleee hiyo,mkiamka asubuhi mnabdilishana majina mnaanza kuitana `baby`
afikiria kujaribu ushauri wako...
 
Aisee cjui nianzishe tuition ya kufundisha hii makitu!
Naona wateja wapo!

Ngoja nikamate fursa niende zao!

images
images
images
 
si ndio hapoa anataka mambo ya kuomba namba ya simu na usiku kutaka kumpigia simu masaa mawili wakati hata hela ya vocha harushi,siku hizi unamtoa dinner au lunch mara ya kwanza,mara ya pili mnaenda sinema mara ya tau beach ya nne club kama ni watu wa hivyo alafu ndio ntoleee hiyo,mkiamka asubuhi mnabdilishana majina mnaanza kuitana `baby`
Sasa jeee....?
 
tatizo lako unataka kucheza uefa kabla ya kuingia top four ligi ya nyumbani , anza kwanza na mademu wa kawaida ikiwezekaana hata mabeki tatu ukishwazoea ndio upande daraja sio unajijua domo zege,stori huna hela huna alafu unataka demu classic?? yatakukuta yaliyowakuta manchester ohoo!!

ligi ya nyumbani nimecheza sana secondary nilikuwa napendwa sana but chuo mambo yamekuwa upside down hata mademu wa kawaida wananizingua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom