haswaa siku hizi hatutongozani ikiwa ninahisia na wewe tunajikuta automatically in a relationship
basi tafuta pesa na uwe na gari kama mdau alivyoshauri hapo juu.nimeipenda hiyo but it doesnt work in real world.
nenda kabake
ukiwa na hela utongozi wankuja wenyewe
shalet nashangaa anataka kuninyang'anya tonge mdomoni.[/QUOTE said:asikutishe huyo...we njoo tufanye yetu sieeeeeee.
no like my mother, you remind me of her!
I guess kutongoza kulishaisha wakati Mh. mkapa anaondoka madarakani....
siku hizi hamna tena hiyo.
Mi sasa nina bahati mbaya mara nyingi nikienda out hata uwanja wa ugenini wale wanaokunywa glass za wine unasema labda hawa ntawamudu ndio hawataki atakunisikia na chupa langu la bia, hila wale wanaokuja kununua machupa ya wine ndio utawaona hao najikuta o-hoo, msaada kwenye tuta.si ndio hapoa anataka mambo ya kuomba namba ya simu na usiku kutaka kumpigia simu masaa mawili wakati hata hela ya vocha harushi,siku hizi unamtoa dinner au lunch mara ya kwanza,mara ya pili mnaenda sinema mara ya tau beach ya nne club kama ni watu wa hivyo alafu ndio ntoleee hiyo,mkiamka asubuhi mnabdilishana majina mnaanza kuitana `baby`
ukiwa na hela utongozi wankuja wenyewe