Siwezi kutongoza...

Siwezi kutongoza...

haaa haaa haa we Excel bana acha ubahili kuna chuo ambacho kinatoa kozi ya mambo ya utongozaji......

ohh!! sorry kwa mara nyingine besti..!

mmh! unajua, sina dhumuni la kukupotezea muda sana, ila ukweli ni kwamba,

kila ninapokuona, hata pale unapokuwa mbali nami.. najisikia sana kuwa nawe DEMBA!

please usichukulie kama utani kwa vile tunafahamiana! DEMBA nimetokea kukupenda kwa muda mrefu sasa!!

naomba unielewe besti!! please tafuta ventricle ama auricle yoyote uliweke PENDO langu kwako!

uff!!
 
Last edited by a moderator:
sbb wewe ni mkali sana class.. anza kutongoza kwa kutumia barua. usisahau kutupiamo physics na maths kwenye barua

hahahaaa!!

I LOVE YOU at equilibrium point!

if we become lovers, all equations are going to balance using beam light! dah!

our love will be like rays and sparks...! chezea!!
 
haaa! mbona unaonekana expert wa mitongozo.....kujifunza gani huko?
ohh!! sorry kwa mara nyingine besti..!

mmh! unajua, sina dhumuni la kukupotezea muda sana, ila ukweli ni kwamba,

kila ninapokuona, hata pale unapokuwa mbali nami.. najisikia sana kuwa nawe DEMBA!

please usichukulie kama utani kwa vile tunafahamiana! DEMBA nimetokea kukupenda kwa muda mrefu sasa!!

naomba unielewe besti!! please tafuta ventricle ama auricle yoyote uliweke PENDO langu kwako!

uff!!
 
haaa! mbona unaonekana expert wa mitongozo.....kujifunza gani huko?
DEMBA please usinielewe vibaya!!

naomba niseme mbele ya uma wa MMU japo sitataka ushauri wala comment zao! (watatibua bana!!!)

demba si kwamba nakupa sifa za mgongo wa chupa, hapana! demba wewe ni mzuri! hipsi unazo! ukitembea nahisi kama

unakuja kwangu vile! ukiniangalia nahisi unaniambia I LOVE YOU TOO! ukicheka nahisi kama unaniita nije unichum!
DEMBA please naomba uwe wangu..!!

(ngoja kwanza...!! hivi we shalet unapitia hizi rehearsalz?.. au mi najipigia kelele tu huku we umelala?)
 
Last edited by a moderator:
Daaa kijana vipi tena? Mwanaume hashindwi bana.
 
Mi sasa nina bahati mbaya mara nyingi nikienda out hata uwanja wa ugenini wale wanaokunywa glass za wine unasema labda hawa ntawamudu ndio hawataki atakunisikia na chupa langu la bia, hila wale wanaokuja kununua machupa ya wine ndio utawaona hao najikuta o-hoo, msaada kwenye tuta.
hata sijakuelewa
 
Apana ni hivi
Nyota tofauti ajitambue yy ni Wa nyota gan?
Kama mm huwa napendwa wakati my friend ana struggle mpaka namuonea Huruma
So huyu jamaa kusema ivyo sishangai
 
Hii tuition ni tata. Mwanamme kumfundisha mwanaume mwenzake unakuwa unamtongoza yeye tena. Hii inabidi ifanywe na wadada vinginevyo!!!!
 
Excel tiririka mkuu nafuatilia somo kwa ukaribu.
 
Last edited by a moderator:
Excel tiririka mkuu nafuatilia somo kwa ukaribu.

mkuu nikajua umelala bana!! vipi lakini ulipata concept kiasi eti??

ngoja nikuambie kitu mdogo wangu, tengeneza kuwa na confidence kwanza rafiki yangu..!!

hivi unaweza kuangaliana na mtoto wa kike uso kwa uso? yani eye contact??
 
Pa kuanzia muulize mzazi wa kike dingi alivyompata. Atakupa ishue nzima. Usiende kwa bibi huko ni mbali kidogo na mbinu zinaweza kutoaply kwa sasa.
Au nitunge kitabu...utanunua?
 
maringeni tunga mkuu tupo wengi sio mimi tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama unataka lecture nenda kwenye yutube search 'how to talk to a girl'. Utapata clips zaidi ya 20. Unaweza kunarow down to african girl etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom