Yani wamenishambulia sana.. ila ujumbe wameupata.Single mothers watakuja na povu jingi, ila mm n shahidi wa hayo, single mother kwa kijana ni sumu.
Watakuja kusema hao ambao hawajazaa wametoa mimba sana ila hii yote ni kujifariji tuu.
Kijana unayejitafuta, jiepushe na single mother, usiposikia hilo bc utashughudia mwnyw kwa maumivu makuu
This narrative that single motherhood is solely a woman’s choice ni oversimplificationSingle motherhood is woman's choice
Kwamba nikaribie kwenye ubaba wa kambo?... Over my dead body.Karibu
Sio kila anaetetea huu upuuzi wenu ni single mother jitahidini kuwaweka kikaangoni na wanaume wenzeni wasizalishe hovyoSingle mothers watakuja na povu jingi, ila mm n shahidi wa hayo, single mother kwa kijana ni sumu.
Watakuja kusema hao ambao hawajazaa wametoa mimba sana ila hii yote ni kujifariji tuu.
Kijana unayejitafuta, jiepushe na single mother, usiposikia hilo bc utashughudia mwnyw kwa maumivu makuu
Kwa maana hiyo unakubali kwamba kuna aina za single mothers wanaostahili nafasi nyingine ?Nina amini yule atakae mtaka na kumstiri atakuwa ameona nimekufa na atakuwa anajua hadi kaburi langu lilipo .. tofauti na hapo simshauri amuoe huyo mwanamke maana ni mali ya wengine . Atateseka tu.
A woman is gatekeeper of sex and fertility. Nothing can happen without woman’s consent, and to know if a man is serious is untill he marry her or atleast visiting her family to introduce himself. Any woman accept a man to impregnate her without that happened she is an idiot and she deserve all shit comes with a stupid decision she made.This narrative that single motherhood is solely a woman’s choice ni oversimplification
Kama alibakwa? au wakati huyo mwanaume anaenda kumtambulisha kwao kapata ajali na kufa? Hapo ujinga wa huyo mwanamke upo wapi?Nothing can happen without woman’s consent, and to know if a man is serious is untill he marry her or atleast visiting her family to introduce himself.
Those are exception cases. There is exception in everyrhing, but exceptionality don't count when we make rulesKama alibakwa? au wakati huyo mwanaume anaenda kumtambulisha kwao kapata ajali na kufa? Hapo ujinga wa huyo mwanamke upo wapi?
Natafuta Ajira Hapa ndipo umeonyesha wazi chuki yako dhidi ya jinsia ya ke kwa kuendelea kumkingia kifua huyu mwanaume mpumbavu aliyeshindwa hata kutumia kondomu au kushauriana na mpenzi wake kuhusu kufanya sex katika siku za hatari za kupata mimbaThe author didn't blame women. He just shared his standard term. Man's requirements is not misogynistic.
Single motherhood is woman's choice. Due to the fact that she is a gatekeeper of sex and fertility. No man came with a gun to force her to open her legs. She did it intentionally, understood and willingly.
She was in place of making a better decision but she chose chaos, then she has to face consequences of her decision without blaming no one. That's called accountability.
MIMI NI HOHEHAHE, ILA SINGLE MOTHER NI SUMU KWA KIJANA ANAYEJITAFUTA.NB : WANAUME WANAOBWEKA KUHUSU SINGLE MOTHER NI HOHEHAHE
when it comes to social issues like single motherhood and remarriage, the "rules" or societal norms should ideally be flexible enough to accommodate individual circumstances rather than isolate or stigmatize peopleThose are exception cases. There is exception in everyrhing, but exceptionality don't count when we make rules
Make kwanza nchekeee 🤣🤣MIMI NI HOHEHAHE, ILA SINGLE MOTHER NI SUMU KWA KIJANA ANAYEJITAFUTA.
Kuzalishwa na mwanaume mwingine isiwe kugezo cha kuwahukumu Wanaume wengine ambao hayujazalisha au tuliwazalisha tunaishi nao.
Hata single dad kuna kanuni za muhimu tunazingatia kwenye hiloNi kuwekea mkazo tu, kama ambavyo wao huchagua wenye pesa, endelea na msimamo wako.
Single mom for single dad!!
Mada haihusiani na bikira. Kujadili hicho kipengere ni kutoka nje ya mada. Kuhusu single mother, ofcourse ni chaguo bovu kwa kijana ambae anaanzisha familia. Hasara za kuoa single mother.
If everyone has an escaping hitch to step outside of a specific alignment then that's not a rule.when it comes to social issues like single motherhood and remarriage, the "rules" or societal norms should ideally be flexible enough to accommodate individual circumstances rather than isolate or stigmatize people