Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,182
- 71,195
HahahaKijana kukubali kuwa baba wa kambo ni hatua ya mwisho kuelekea kuwa kichaa. Katika familia yenu mkiona ndugu anaelekea kuwa baba wa kambo tafadharini sana fanyeni jitihana za kumuwaisha milembe.
Wengine ni mihemko ya ngono Tu na kutafuta unahisi, na wengine pia kukosa Elimu kama hii unatoa kila sikuKijana kukubali kuwa baba wa kambo ni hatua ya mwisho kuelekea kuwa kichaa. Katika familia yenu mkiona ndugu anaelekea kuwa baba wa kambo tafadharini sana fanyeni jitihana za kumuwaisha milembe.
Baba ako alie kulea una uhakika 💯Kijana kukubali kuwa baba wa kambo ni hatua ya mwisho kuelekea kuwa kichaa. Katika familia yenu mkiona ndugu anaelekea kuwa baba wa kambo tafadharini sana fanyeni jitihana za kumuwaisha milembe.
That isn’t important. Ungesema huwezi kusababisha mtu kuwa single mother ningekuona una hoja!Binafsi, siwezi
Sababu ni moja tu.
Yaani baba wa kambo unalea mtoto , kuna wakati unaonekana mkatili na mwenye makosa pale kunakotokea kutokuelewana.
Lakini yule aliemkimbia akamuachia mzigo anaonekana kuwa sio mkatili na wakati mwingine huwa ana heshimiwa kuliko wewe uliejitoa kubeba mzigo wa misumari.
never ..
Absolutely, 100% sure.Baba ako alie kulea una uhakika 💯
Ni baba yako kwa vinasaba?
Mwanamke ambae ana mtoto wa mwanaume mwingine automaticaly sio mali ya mwanamume mmoja tena ..maana hapo atakuwa na mahusioano yake but ata the same time atakuwa na mawasiliano na mwanaume mwingine .. kwa kigezo cha mzazi mwenza .. sasa kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo ni kujichimbia kaburi wew mwenyewe.Ooh sawa nipe tofauti ya kitabia kati ya single mother na mwanamke ambaye bado hajapata mtoto
Wanaume baadhi ni wa binafsi hakuna single mother bila mwanaumeThat isn’t important. Ungesema huwezi kusababisha mtu kuwa single mother ningekuona una hoja!
Ulifanya nae vipimo vya kisayansiAbsolutely, 100% sure.
Nimesema hivyo ., kwa sababu sijawahi kufikiria kutengeneza single mother hata siku moja .That isn’t important. Ungesema huwezi kusababisha mtu kuwa single mother ningekuona una hoja!
Nadhani Wanaume Wana hasira Sana na Chuki, Maana Single Maza ukimkuta kabla hajawa single Maza ni balaa kwanza huwa ni wazuri, hawashauriki, Wana nyodo, Wana jeuri.Wanaume baadhi ni wa binafsi hakuna single mother bila mwanaume
Hili wanalisahau kwa kutojua
Au hawana akili ya kuwaza hili
Badala washauriane namna ya kutozalisha hovyo wanalalamikia matokeo ya matendo yao
Najiuliza hawa watu wapo timamu kweli?
Hiki ndicho ulipaswa kutuletea hapa. Hilo jingine sio solution to the problem!sijawahi kufikiria kutengeneza single mother hata siku moja .
Kwanza damu yangu lazima niilee mwenyewe kwenye ndoa takatifu ..
Watawasiliana ndiyo kwa ajili ya watoto si ndiyo maana yako sio?Mwanamke ambae ana mtoto wa mwanaume mwingine automaticaly sio mali ya mwanamume mmoja tena ..maana hapo atakuwa na mahusioano yake but ata the same time atakuwa na mawasiliano na mwanaume mwingine .. kwa kigezo cha mzazi mwenza .. sasa kuwa na mahusiano na mwanamke wa namna hiyo ni kujichimbia kaburi wew mwenyewe.
Hata kama atakua na makando kando ni afadhali 🤣🤣🤣Lakini mwanamke asiye na mtoto.. hata kama atakuwa na makando kando lakini atlest unakuwa na amani kuwa hakuna mtu anaeweza ku access mahusiano yenu kirahisi..
Baba wa kambo mnufaikaWewe ni single mother au baba wa kambo?
Kama hii ni miongoni mwa sababu moja wapo basi wanaume hawa ni wapumbavu kwa kiwango cha juu zaidiNadhani Wanaume Wana hasira Sana na Chuki, Maana Single Maza ukimkuta kabla hajawa single Maza ni balaa kwanza huwa ni wazuri, hawashauriki, Wana nyodo, Wana jeuri.
Ndio Maana Wanaume wanawachukia Sana walishakula single Maza Wanaume wanafurahi kama kutuliza maumivu vile. Haya mambo hayaji hivi hivi
Mimi kam mwanaume ni bora aje na makando kando mengine kuliko kuja na hilo la mtoto ..Watawasiliana ndiyo kwa ajili ya watoto si ndiyo maana yako sio?
Kwahiyo wewe unadhani wakiwasiliana ndiyo wataanza kukumbushia ya kale?
Hata kama atakua na makando kando ni afadhali 🤣🤣🤣
Et Hakuna anaeweza kua access mahusiano bro huoni unachekesha
Unataka uniambie wewe kigezo cha kuaoa ni mwanamke asiwe na mtoto tu basi?
Unajua binti anaweza kua mama wa marehemu binti katoa mimba 6 bila uoga ndiyo bora zaidi kitabia kuliko aliezaa ?
Ndio sababu kwa hiyo waache single Maza wavune walichopanda, ukipanda mazuri utavuna mazuriaz ukipanga mambo ya hovyo usilalamilw ukipopolewa we vuna tuKama hii ni miongoni mwa sababu moja wapo basi wanaume hawa ni wapumbavu kwa kiwango cha juu zaidi
Swali lako la mwanzo limeshajibiwa. Am not ready for interrogation.Ulifanya nae vipimo vya kisayansi
Au umeangalia mfanano?
Hata Single Maza mwenyewe hakubali Mtoto wake wa kiume aoe single Maza🤣🤣Mimi kam mwanaume ni bora aje na makando kando mengine kuliko kuja na hilo la mtoto ..
Najua ni ngumu wew kuelewa hicho kipengele cha mtu kuwa na intruder kwenye familia yako..
Mbaya sana