Siwezi kuoa single Mother

Mm nikimpata singomaza anaejielewa... naoa! Hata waliooana Bikra nao pia wana changamoto zao na ndo wanageuka SINGOz! Ndoa/Mahusiano hazina SI Unit!
Kaka .. japo maamuzi ni yako.. ila ushauri tu .. changamoto ambazo utazipata kwa mwanamke asie single mother ni tofauti na ambae hujamkuta na mtoto.. kuna vitu utakutana navyo ambavyo vitakufedhehesha sana.
 
Mara ooh! sitaki kuoa single mama!!' sitaki mwanamke anaye omba pesa ooh! naoa bikra!?!?
mi sikatai kila mtu apambanie vigezo vyake.
kinachonishangaza mbona mnatumbia sisi ndoto zenu za nataka hivi mara vile????
Ndoto haitangazwi we pambania kamilisha.
Mbona jinsia ke hai hangaiki namna hii!!!!
ikiamua inataka mubaba mwenye pesa inapita nayo.
ikiamua inataka big mkulungu inatafuta inapata ina enjoy.
ikisema no money no pussy inakuwa hivyo..........

Badala ya kupiga kelele hapa huko kwenye maisha halisi hakikisha unapata mtu unayehitaji katika muda muafaka.
Na kaa ukumbuke mwanaume anayepata anachotaka ni mwenye pesa tu!!!! wengine
omba omba wenzangu wote wataishia kupata wanachostahili tena kwa kuhurumiwa.
 
Wewe ni single mother au baba wa kambo?
 
Hakuna shida mtu yoyote kusema preferences zake. Jf ni jukwaa huru. Hakuna ambae yupo hapa jf kwa ajiri ya kukufurahisha wewe. Kama mtu kaandika kisichokupendeza, usifungue post yake au pita kimya kimya
Wanani chukia kwa kuwashirikisha malengo yangu kaka ..

Endelea kuwa hubiria vijana waelewe huwa nazielewa post zako maana zina amsha vijana wajitambue
 
Kijana anaenzisha familia kukubali kuwa baba wa kambo ni hatua ya mwisho kuelekea kuwa kichaa. Katika familia yenu mkiona ndugu anaelekea kuwa baba wa kambo tafadharini sana fanyeni jitihada za kumuwaisha milembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…