Siwezi kuoa kwa hali hii

Siwezi kuoa kwa hali hii

aiseeeeeh!!!!!!!

kwa ile video ya wajapan uliyonitumia , nimeamini unaweza ukatombewa kwenye tip of your nose na usistukie khaaa.......

itabidi zitengenezwe chupi zenye alarm.

jamaa si analalamikia lunch time ndo namtoa wasiwasi kwa mwalimu hilo halipo
 
aaahgrrrrr! Hakuna cha kukurupuka wala kunyatia. Maadili yamemomonyoka hakuna utu tena hakuna heshma tena. Kizaz chote kimeoza.

Zaman ukihesabu mabint kumi wa miaka 15 hadi 20 unakuta zote ni bikra au 8 n bikra lakn sasa hvi ukichukua hao hao 10 hukuti bikra hata moja wote wamezibuliwa sasa hapo kuna mke mwema?

Sasa hvi sio wanawake wala sio wanaume wote tumeoza.....

Na uskute huyo mtoa maada ni miongon mwa wanaogegeda wake za watu ndio maana anaogopa ile kauli ya kila aangamizaye kwa upanga......

Yeye amejuaje kuwa wanazibuliwa vyoo? Hayo malipo ya gest amejuaje kuwa wanalipahaohao wake za watu..

Haya maisha n kufungua moyo tu, kujitoa ufahamu , kujifanya wanagongwa wa wenzako ila wakwako hagongwi ila ukijfanya kufuatilia utakufa siku zisizo zako walah
Umesema kweli.

Mimi nilibahatika kuoa mwaka 2008 tulidumu kwenye ndoa miaka mi 4 tu, na mimi sikuwa na mpango wa kuoa wala nini MAZA alinishikia bango akawa ananisumbua nioe, nikaoa Mwarabu ambae MAZA alinichagulia, kwa kweli mimi na yule Mama watoto hatukuwa na matatizo, tatizo Mama yake(Mama watoto) alikuwa anataka aolewe na Mwarabu mmoja anaishi umangani na yule wa Umangani akasikia kaolewa ilimuuma sana. Baba wa Mama watoto wangu alikuwa hana tatizo, tatizo yule Mkewe(Mama mkwe) alikuwa anasumbua sana ikafikia mtoto wake anakuja niambia maneno yote anayopewa na Mama yake ikawa inaleta tafrani hadi mimi inafikia napoteza na kuanza kumchapa Mama watoto, ni story ndefu sana, ngoja niikatishe.

Unajua mila za waarabu wa kibongo msichana akifikia umri fulani wanamuweka ndani hatoki hadi siku ya kuolewa na lazima aolewe bikira.

Basi tena mimi kwa sasa sijui kama nitaoa, kwa kweli nimedumu kwenye ndoa yetu 2008 mpaka 2012 nikachemka. Nilichobahatika watoto wawili wa kwanza Dume(miaka 5) na wa pili Binti (miaka 3 ambayo Mungu akipenda mwezi wa 12 atatimiza mitatu kamili) na watoto wangu wote wawili wapo nyumbani kwetu wanadeka kwa Mama yangu(bibi yao)
 
ndg yangu maisha ya sasa ni taabu tupu.
Ww kaa lea wanao ....
Mapenz waliyafaid babu na baba zetu lakn ss n majanga
 
Ha ha ha mi ni ticha we ni daktari?
kama ni daktari ombi limepitishwa makoti meupe na stethoscope ndo ugonjwa wangu

Ngoja nikasomee Medicine fasta, bahati isije kunipita hii.. 😛lane::car:😛lane::car:😛lane::car:
 
Thread za kizushi utazijua tu...kuna ofisi zinabana watumishi kama za private...mpaka mpate masaa mawili ya kuwalala wake za watu?...kama mekosa wa kuoa acheni kukashifu ndoa za watu...

Masaa 2 mbona ni mengi sana mkuu! Nimegundua wenye wake ndo wasioamini kuwa haya yanafanyika......anyway, ni vyema ufikiri positive.....aaaah!
 
Achana na mambo ya watu hajui huko nyumbani kwake chumbani..mme au mke nani anakaroro..asilimia kubwa si kila m2 anapenda kutoka nje ya ndoa no wengi wao hawatimiziwi na mwenza wao...cha msingi omba sana kwa muumba wako upate ubavu wako uliyo mwema na umtimizie ipasavyo
 
Umesema kweli.

Mimi nilibahatika kuoa mwaka 2008 tulidumu kwenye ndoa miaka mi 4 tu, na mimi sikuwa na mpango wa kuoa wala nini MAZA alinishikia bango akawa ananisumbua nioe, nikaoa Mwarabu ambae MAZA alinichagulia, kwa kweli mimi na yule Mama watoto hatukuwa na matatizo, tatizo Mama yake(Mama watoto) alikuwa anataka aolewe na Mwarabu mmoja anaishi umangani na yule wa Umangani akasikia kaolewa ilimuuma sana. Baba wa Mama watoto wangu alikuwa hana tatizo, tatizo yule Mkewe(Mama mkwe) alikuwa anasumbua sana ikafikia mtoto wake anakuja niambia maneno yote anayopewa na Mama yake ikawa inaleta tafrani hadi mimi inafikia napoteza na kuanza kumchapa Mama watoto, ni story ndefu sana, ngoja niikatishe.

Unajua mila za waarabu wa kibongo msichana akifikia umri fulani wanamuweka ndani hatoki hadi siku ya kuolewa na lazima aolewe bikira.

Basi tena mimi kwa sasa sijui kama nitaoa, kwa kweli nimedumu kwenye ndoa yetu 2008 mpaka 2012 nikachemka. Nilichobahatika watoto wawili wa kwanza Dume(miaka 5) na wa pili Binti (miaka 3 ambayo Mungu akipenda mwezi wa 12 atatimiza mitatu kamili) na watoto wangu wote wawili wapo nyumbani kwetu wanadeka kwa Mama yangu(bibi yao)

I don't get connection between what you wrote and thread content!.....plz describe.
 
Ukimchunguza sana bata huwezi kula nyama yake...! Ndoa za siku hizi ni uzushi mtupu.Watu wamekengeuka sana si wanawake wala wanaune wenye afadhari. Wote ni mahanga matupu....La msingi ni kumuomba Mungu akupe mwenzi bora na kuinusuru ndoa yenu na hayo majaribu ya shetani.
 
Back
Top Bottom