Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,246
ishakupita tayari hadi usome duh tutakuwa kama wema na diamond!!!Ngoja nikasomee Medicine fasta, bahati isije kunipita hii.. 😛lane::car:😛lane::car:😛lane::car:
ishakupita tayari hadi usome duh tutakuwa kama wema na diamond!!!Ngoja nikasomee Medicine fasta, bahati isije kunipita hii.. 😛lane::car:😛lane::car:😛lane::car:
kwani wakitokaga kwenye shughuli zao wanakuja kukwambia walivyofanya? Hadi umejua hawatumii kondom, style wanazofanya etc!
ishakupita tayari hadi usome duh tutakuwa kama wema na diamond!!!
Hii niliiona sehemu, kwa macho yangu. Tena wote ni wanandoa na ilikuwa lunch time, hadi nilishangaa...
Haya mambo yapo, japo hayamfanyi mtu kuogopa kuoa/kuolewa.
Umenkumbusha kipindi nasoma chuo, wanawake ambao wameolewa ambao ni wanafunzi wa chuo, siku moja naingia kujisomea jioni class, nkaenda kukaa kiti cha nyuma ambako alikua amekaa mmama mmoja wa miaka kama 45 hv pamoja na kijana wa miaka kama 21 hv, wameweka material juu ya meza wakijidai wanasoma huku chini kijana kamuingiza mkono mmama wa watu anaugulia, dogo anampiga vidole mama wa watu! Yani we acha tu
Au tufunge kabisa ndoa, wakati huo mimi naendelea kusoma?
Aiseeeeh......
Sasa itabidi tuwe tunawaibukia huko huko makazini...
Oh I pity you, you small minded chump, do you remember old tales.. Sungura akamwambia Fisi twende kwa Kobe?
Unashanga Kuku of course kuna mpaka Kenge, Mbwa Farasi n.k unaweza kuamua kwa maneno yako ujiweke kwenye kundi lipi, uwezo wa kuku kutunza kumbukumbu ya namba mwisho huwa tatu.
Sipendi kumjadili mtu kuliko maswala.
Na ndio maana nilisema hii story tungwa inaenda kuharibu mind set bila mtoa mada kujua kulingana na ukuku wake. Angalia paragraph mbili za mwisho.
muombe mungu akupe mke wa kufanana na wewe. ukiomba kwa kumaananisha na kuamini mungu wetu ni mwaminifu atakupa mke mwema.
Wadau, binafsi sijaoa si kwamba sipendi; napenda sana ila kila nikilifikiria napata kigugumizi kulichukulia hatua.
Nafanya kazi kwenye taasisi binafsi, jambo moja huwa linaniumiza sana kwa muda mrefu & now its too much, hapa kazini wanawake walioolewa tena na pete zao vidoleni plus watoto, wanashindwa kujali heshima walionayo, wao ndo wanatoka na vijana mida ya nchana kwenda guest na kuwasaliti waume zao.
Hii ni sample I hop kama hapa ipo basi hata ofisi nyingine IPO.
Bad enough wanaotoka nao wanawafanya vibaya hadi kinyume na maumbile. Tena gharama wanalipa wasaliti wenyewe.
Waume zao wanajua wapo kazini jioni wanarudi kimyaaa, mme anajua nimempata mke, du kumbe hamna kitu, mbaya zaidi hata kinga hawatumii.
Laiti kama waume wangekuwa wanawanyemelea wake zao wanavyo behave wawapo kazini ndoa zingeisha walai.
Hakuna hata matumaini kama huu usaliti utakuja isha, mliokwisha oa msiwaamini wake zenu labda kwa 0.2%.
Tuwaoe wake gani? mama wa nyumbani shida, wafanyabiashara nao wafanyakazi ndo hao.
Kazi kwenu mliopo kwenye ndoa.
weeeee uniingize chaka uishie kuwa ticha mwenzangu akaa!!!
Tena usijaribu mkuu, unaweza usirudi nyumbani ukapotelea zako baa tu kwa stress
Na nikiwa Ticha wa Madokta je?
ha ha ha TANMO unankanyagia waya tu wewe
sa ukiwa ticha wa madokta si ni ticha tu mi nataka docta ha ha ha
Sielewi kingleza.I don't get connection between what you wrote and thread content!.....plz describe.