Mi nakushauri uoe mwalimu, mwalimu hanaga lunch time muda wa lunch ye yupo nyumbani na familia....kwi kwi kwi promo at work!!!!
Kuku????
Wewe ni Mwalimu?
:yield::yield::yield:
Mimi ishara sizielewagi Bana..
Niambie kama ni Ticha tufunge ndoa fasta..
Kuoa usikurupuke, ukikurupuka unaweza usije oa tena maishani mwako.
Nimegundua ndoa za wa zamani zilidumu sana kwasababu walikuwa wanatambua umuhimu wa ndoa ila kwa sasa ndoa nyingi(ingawa si zote) zipo kimaigizo, mkumbo, tamaa, kutoa mkosi n.k, ndio maana kudumu maisha ya ndoa inakuwa mtihani kidogo. Mfano hai ni huu uliouleta
Hujawa tayari sema usiseme huoi, na huyo mchafu wa tabia anaekuelezea na wewe Dume zima unasikiliza eti hawatumii kinga eti wanafanya kinyume na maumbilee, wanaume wawili mmekaaa mnahadithia pumba.. Sasa wewe ukihadithia unajisikiaje Kama Rijal kweli au unamuonaje alikuja kwambia?
Hao wanawake wasiojali zama za magonjwa yasiyotibika wanasagana?
Hakuna kitu kama hicho. Kampuni gani binafsi wanamuda wa kupoteza hivyo. Mapenzi gani ya one hour. Hata kama watu wanachepuka siyo kihivyo. Usiwaogopeshe watu
Mkuu 10 minutes is very enough kufanya ngono if wote mmeamua kuna watu wanafanya mapenzi ofisini, chooni, kwenye magar binafsi, dont think they take hours, swala ni utayari wa wahusika, so hilo la lunch hours is very possible mana wote tunajua lunch ni 1hr or more
Utaniibukia had usiku nikiitwa call😕😕:
Yani natamani kumwambia ataje hiyo ofisi...tumechoka na story za kutunga ...wanataka kutudanganya kama sie si wafanyakazi pia...
Mi nakushauri uoe mwalimu, mwalimu hanaga lunch time muda wa lunch ye yupo nyumbani na familia....kwi kwi kwi promo at work!!!!