Nzowa Godat
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 2,785
- 823
Mleta mada yupo sahihi siku hizi wanawake wapo loose sana mbali ya kwamba hizi ni zama za magonjwa yasiotibika, hawajali kabisa.
Hao wanawake wasiojali zama za magonjwa yasiyotibika wanasagana?Mleta mada yupo sahihi siku hizi wanawake wapo loose sana mbali ya kwamba hizi ni zama za magonjwa yasiotibika, hawajali kabisa.
Ndio maana mwaolewa siku hizi! Hutaki kuoa unatakaje?
Mbona hasira mamii kuwa mpolee.
Wadau, binafsi sijaoa si kwamba sipendi; napenda sana ila kila nikilifikiria napata kigugumizi kulichukulia hatua.
Nafanya kaz kwy tasisi binafsi, jambo moja huwa linaniumiza sana kwa mda mrefu & now its too much, hapa kazini wanawake walio olewa tena na pete zao vidoleni plus watoto, wanashindwa kujali heshima walionayo, wao ndo wanatoka na vijana mida ya nchana kwnda guest na kuwasaliti waume zao. Hii ni sample I hop km hapa ipo basi hata ofisi nyingine IPO...
Bad enough wanaotoka nao wanawafanya vibaya hadi kinyume na maumbile. Tena ghalama wanalipa wasaliti wenyewe. Waume zao wanajua wapo kazin jioni wanarudi kimyaaa, mme anajua nimempata mke, du kumbe hamna kitu. mbaya zaidi hata kinga hawatumii....
Laiti km waume wangekuwa wanawanyemelea wake zao wanavyo behave wawapo kazini ndoa zingeisha walai!
Hakuna hata matumaini km huu usaliti utakuja isha, mliokwisha oa msiwaamini wake zenu labda kwa 0.2%. tuwaoe wake gani? mama wa nyumbani shida, wafanya biashara napo mh! wafanyakazi ndo hao..
Kazi kwenu mliopo kwny ndoa.....
muombe mungu akupe mke wa kufanana na wewe. ukiomba kwa kumaananisha na kuamini mungu wetu ni mwaminifu atakupa mke mwema.
Curiosity killed the rat...
Ukimchunguza sana bata hutomla, mkuu...!
huwezi mlinganisha baba yako na kizazi cha sasa you are lost!
Wadau, binafsi sijaoa si
kwamba sipendi; napenda sana ila kila nikilifikiria napata kigugumizi
kulichukulia hatua.
Nafanya kaz kwy tasisi binafsi, jambo moja huwa linaniumiza sana kwa mda
mrefu & now its too much, hapa kazini wanawake walio olewa tena na
pete zao vidoleni plus watoto, wanashindwa kujali heshima walionayo,
wao ndo wanatoka na vijana mida ya nchana kwnda guest na kuwasaliti
waume zao. Hii ni sample I hop km hapa ipo basi hata ofisi nyingine
IPO...
Bad enough wanaotoka nao wanawafanya vibaya hadi kinyume na maumbile.
Tena ghalama wanalipa wasaliti wenyewe. Waume zao wanajua wapo kazin
jioni wanarudi kimyaaa, mme anajua nimempata mke, du kumbe hamna kitu.
mbaya zaidi hata kinga hawatumii....
Laiti km waume wangekuwa wanawanyemelea wake zao wanavyo behave wawapo
kazini ndoa zingeisha walai!
Hakuna hata matumaini km huu usaliti utakuja isha, mliokwisha oa
msiwaamini wake zenu labda kwa 0.2%. tuwaoe wake gani? mama wa nyumbani
shida, wafanya biashara napo mh! wafanyakazi ndo hao..
Kazi kwenu mliopo kwny ndoa.....
Kumbe wewe ni mwalimu?Mi nakushauri uoe mwalimu, mwalimu hanaga lunch time muda wa lunch ye yupo nyumbani na familia....kwi kwi kwi promo at work!!!!
Hao wanawake wanachepuka na akina nani???