kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Najuta Mimi!
unajuta nini?
Najuta Mimi!
wala usitake ushahidi kihivyo ,,,, haya mambo yapo sana tu..........
Huwa anawashikia miguu...Umejuaje????? Huwa unawasindikiza huko kwenye matukio?????
Kwa hiyo wewe unapofanya kazi ikifika lunch time kazi ni moja kutiana tu...au na wewe ndio kina 'nasikia...nasikia...'
Ukisema ndio mchezo wa ofisini kwenu baas naacha ubishi right now...
sio kwamba anaambiwa mm naona hata yeye ni mshirik mzur tu. Anacho kiogopa hapo n ile kauli ya muosha huoshwa au kila angamizae kwa upanga ataangamia kwa upanga......
Juzi nilitoka ofsn na dada mmoja tukaenda kwangu kwa lengo la kuchukua document flan mida ya lunch. Kufika karibia mda wa kuondoka et kaanza kusema najisikia naumwa gafla kama vp nilale hata nusu saa. Na alikua kalegea sana. Nikawaaaaaza nikagundua nisipokuwa makini nitainywa ile sumu ya mke wa mtu. Najua alinidharau na yupo humu but potelea mbali na lengo lake mi namheshimu tu kwa sababu ni mke wa mtu. Kwa hiyo mtoa mada uko mule mule
wanyumbani muuza genge akimuongezea nyanya moja tayari!
Love is a seroud mental deseas
Mwanaume anayeogopa kuoa ujue haogopi kuolewa.Babako angeogopa kama wewe usingekuwepo!
Old stories...!
sina hamu na ndoa tena!
mpango mzima ni kugegeda na kuacha thanks my GOD
katoto kamoja hakahaka kananitosha.
Mkuu unaweza kutafuta hao wawili na ukawapata ila wasiwe wako ukalea wa wenzako.Na mimi ngoja tafute viwili
nioe mimi kazini kwangu wote ni wakinamama au hapo pia unahisi nitasagwa?
aaahgrrrrr! Hakuna cha kukurupuka wala kunyatia. Maadili yamemomonyoka hakuna utu tena hakuna heshma tena. Kizaz chote kimeoza.
Zaman ukihesabu mabint kumi wa miaka 15 hadi 20 unakuta zote ni bikra au 8 n bikra lakn sasa hvi ukichukua hao hao 10 hukuti bikra hata moja wote wamezibuliwa sasa hapo kuna mke mwema?
Sasa hvi sio wanawake wala sio wanaume wote tumeoza.....
Na uskute huyo mtoa maada ni miongon mwa wanaogegeda wake za watu ndio maana anaogopa ile kauli ya kila aangamizaye kwa upanga......
Yeye amejuaje kuwa wanazibuliwa vyoo? Hayo malipo ya gest amejuaje kuwa wanalipahaohao wake za watu..
Haya maisha n kufungua moyo tu, kujitoa ufahamu , kujifanya wanagongwa wa wenzako ila wakwako hagongwi ila ukijfanya kufuatilia utakufa siku zisizo zako walah
Mkuu unaweza kutafuta hao wawili na ukawapata ila wasiwe wako ukalea wa wenzako.
Mimi mwenyewe nimeshangaaa kajuaje ya ndani hivyo???kwani wakitokaga kwenye shughuli zao wanakuja kukwambia walivyofanya? Hadi umejua hawatumii kondom, style wanazofanya etc!