1st AID
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 1,079
- 523
inawezekana haswaa shetani akiamua lake....mbona watu povu linawatoka hasa mlio oa lol..mwenzenu katoa hisia zake kwa aliyoona u may take or leave it !!!
Sijui kama umewahi kuchunguza nguvu ya mawasiliano, hasa internet inavyo weza kutumika kuharibu mind set.
Kuku maji mmoja kaokota kihadithi kisicho na mashiko anataka kuaminisha umma ndoa zote zionekane uozo. Sikatai kwamba kuna maovu yanayofanywa katika ndoa. Lakini umefanya study kabla huja-distribute information yako? Idadi ikoje? Ni uchunguzi wa Dar pekee? Unafahamu idadi ya ndoa zilizopo? Zilizo vunjika je? Sababu ni hii?
Kuku wa namna hii usipo waambia wanaumiza wengine hali wao wameoa au kuolewa au wako kwenye michakato na maisha yanaendelea. Sipendi kuona mtu anaharibu akili za vijana kirahisi rahisi hivi.