Siwezi kula utumbo wa ng'ombe hata uniwekee bastola kichwani

227.jpg

Asanteee!,..... Tyta ...
 
Last edited by a moderator:
Haujapikwa ukapikika utakula huku unasema huu si utumbo ni kuku kabisa lol...

Nimemkumbuka shosti wangu tulifanya ugali party na yeye hapendi ugali na siku hiyo kulikua na mboga zaidi ya tano,kuku,mchicha,samaki,kachumbari maharage na mchuzi wa nazi hahhaha alisema jamani huu si ugali ati hili pilau lol kwa kunogewa

farkhina,....idea nzuri!, ya kupamba chakula especially ugali!
 
Last edited by a moderator:
farkhina,....idea nzuri!, ya kupamba chakula especially ugali!

Umeonaa eeeh hata kama huna njaa utakula tu lol hadi watoto wanakula alafu wanauliza hii nini? Tunawajibu snow hahahah sasa hapo maswali yake hadi asubuhi
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
Umeonaa eeeh hata kama huna njaa utakula tu lol hadi watoto wanakula alafu wanauliza hii nini? Tunawajibu snow hahahah sasa hapo maswali yake hadi asubuhi

Hahaaa!, eti snow, kwa kuwa mweupe....lol!
Asee napenda ugali!, hii idea lazima niifanyie kazi ikiwemo huo utumbo wa spinach aloweka Tyta
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.
we mgegedo?ukishagegedwa kila kitu utahisi kinanuka kinyesi.we yai rojo lakufaa mtoto mchele mchele wee.
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.

jina lako tu! Lilivyo ni kichefuchefu hata unitishie bom silisomi...
 
Back
Top Bottom