simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,413
- 9,188
Utumbo wa ngombe na ndizi zilizokolea nazi
Mashalaaaah
Hapo hapo! Usiseme zaidi.
Utumbo wa ngombe na ndizi zilizokolea nazi
Mashalaaaah
Wewe inaonekana umezoea kula utumbo wa kukuHuwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.
masai dada hapo kwenye red sijakuelewaunaulaga wa [luku] au
unaulaga wa luku au
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?
Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.