Siwezi kuishi bila penzi la Diamond!!

he he he mkuu yaani na hiyo avatar yako inavyotisha sidhani kama atathubutu kuchukua namba inawezekana akadhani hiyo namba ni yako
 
Aseme alichompendea nini ili wangine kama tunasifa hizo tuweze kumsaidia kuliko anavyoteseka
 
Mbona wapo wengi sana! binafsi nimeshapokea simu nyingi sana kutoka Tanga, Iringa, Mwanza na Kilimanajoro kwa watu walioina namba yangu kwenye tangazo la biashara lililotoka katika Mwananchi, wote wanataka niwaunganishe na Diamond eti kwa kuwa niko Dar. bahati mbya sifanyi kazi ya ukuwadi dogo angekimbia kwao.
 
Back
Top Bottom