Siwapendi

Siwapendi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,371
Kati ya vitu ambavyo sitaki hata kuwaonja.
senene.jpg
 
....Onja kwanza huku umefumba macho hahahahaha lol! halafu ndio uamue kama unawapenda au la 🙂🙂
 
Same here , hawa wadudu sina mpango wa kuwaweka kinywani til death do us apart, lakini the funny thing ni kwamba napenda sana prawns (seafood flani) ambao muonekano wake unafanana sana na hawa wadudu.
 
Hii kitu ni tamu usiambiwe, na kule Bukoba hii ni zawadi ya heshima sana, ukipewa ujue uyo mtu kakuthamini sana.
 
Hii kitu tamu bana asikudaganye mtu, njoo nikutenezee hasa ikikolezwa kwa pilpil manga na kinguu somu, duh...inakuwa genda ugaruke.
 
i wil eat anythng that taste guwd...na kama haina sumu na kama hai smell bad...
 
Same here , hawa wadudu sina mpango wa kuwaweka kinywani til death do us apart, lakini the funny thing ni kwamba napenda sana prawns (seafood flani) ambao muonekano wake unafanana sana na hawa wadudu.
Sasa hao na prawns mbona ni almost same? ni watamu sana, you should try!
 
Same here , hawa wadudu sina mpango wa kuwaweka kinywani til death do us apart, lakini the funny thing ni kwamba napenda sana prawns (seafood flani) ambao muonekano wake unafanana sana na hawa wadudu.
hao seafood i nawakubali ila hawa ishu lingine
 
Hii kitu tamu bana asikudaganye mtu, njoo nikutenezee hasa ikikolezwa kwa pilpil manga na kinguu somu, duh...inakuwa genda ugaruke.
halafu kuhusu harufu yake?
 
....Onja kwanza huku umefumba macho hahahahaha lol! halafu ndio uamue kama unawapenda au la 🙂🙂
mkuu wana harufu flani halafu isitoshe huo mwonekano wao
 
Back
Top Bottom