Siwapendi

Siwapendi

hawa bwana uwapatie na ndizi choma lazima ujing'ate kina muganyizi, bishanga na ruta wanawajua vizuri..
 
Kati ya vitu ambavyo sitaki hata kuwaonja.
senene.jpg
Apart from mt kilimanjaro na mass emmigration ya nyumbu toka serengeti,hao senene ni no 3 katika natural wonders za tanzania,give them a try then see what u is missing
 
Kijana Excellent unakosa uhondo na vitamin ya kutosha. Pole sana.
 
mkuu wana harufu flani halafu isitoshe huo mwonekano wao

Aisee utakuwa unachanganya, wenye harufu ni nzige na panzi lakini hawa hawana "harufu flani" wako safi sana hawa na protein za kumwaga 🙂
 
Sasa hao na prawns mbona ni almost same? ni watamu sana, you should try!

kwa hawa NO WAY though I understand wale wanaowapenda cuz its all about vyakula tunavyozoeshwa ndivyo tunavyovizowea. Kuna kishoka flani nilimwambia nakula pweza kuna day akavunja urafiki akasema binadam sawasawa hawezi kula pweza. Kwahiyo ni mazowea tu deskmate.

Wewe unakula hawa?
 
Aisee utakuwa unachanganya, wenye harufu ni nzige na panzi lakini hawa hawana "harufu flani" wako safi sana hawa na protein za kumwaga 🙂
dah basi mnauzoefu sana
 
Wewe si Bishanga kama wewe hupendi wenzio twala tena na chai wahaya watanielewa
 
hii kitu acha usiseme ni tamu balaa ila haishindi ile bhana. Nitarudi baadae
 
We mkuu mi naona unatafuta kujua ni namna gani senene wanapendwa bana! hiyo chakula taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
 
We mkuu mi naona unatafuta kujua ni namna gani senene wanapendwa bana! hiyo chakula taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaam
dah na nimeona wanapendwa mana 99% wananipinga
 
argggggh hawa wadudu kuna kipindi niliwala kilafi mpaka leo nikiwaona najisikia kichefuchefu
 
Back
Top Bottom