Siwapendi

Same here , hawa wadudu sina mpango wa kuwaweka kinywani til death do us apart, lakini the funny thing ni kwamba napenda sana prawns (seafood flani) ambao muonekano wake unafanana sana na hawa wadudu.

hawa watamu zaidi ya prawns(seafood)..
ni kama wana mafuta zaidi wako
crach ukiwa roast .. mi nawapenda sana..
 
Duniani kila kitu kinaliwa, inategemeana na mahali ulipo na upatinaji wa chakula mbadala. Tunakuwa na uwezo wa kuchagua kwa kuwa kuna mbadala. Ni matumaini yangu kuwa njaa ikipiga, halafu hao wadudu wawe ndio aina pekee ya chakula kilichopo.......utawala tu, hata bila kuhoji.
 
Back
Top Bottom