Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
sasa kwa suala la kuogesha watoto tatizo liko wapi? ni kuambiwa uwaogeshe au ni kwamba baba kuogesha wanawe ni vibaya??? mbona hivi jamani! khaa!
some pipo bwana, sasa mtoto ni wako ushindwe na kumfanyia usafi....kwa hili naweza kusema ndio nasaidiwaga mara moja moja.....