Siwapendi msiotandika vitanda vyenu!

Huu uvivu wa kutandika ndio huwa unafanya mahausigeli wazoee sana vyumba vya matajiri.Na huu uvivu wakati mwingine hauishii kwenye kutandika vitanda tu,hadi chupi za mabosi mahausigeli wanafua.Sasa wakiwa ndio mama wenye nyumba kweli walaumiwe?

heee hao nadhani ni wahindi hao.
 
Alishawahi kusafiri wiki nzima. Aliporudi alikuta shuka na neti vipo kama alivyoviacha! Manake nachomoka kwenye neti kama panya. Soksi na viatu alivikuta vimetapakaa kwenye sakafu. Bahati yake ch.upi ziliniishia nikaanza kufua. Hivi sasa akisafiri maximum ni siku tatu!

tabia mbaya....mpaka chupi unamuachia?
 
Huyo uliyenaye vipi? By the way kipi bora kwa mwanaume: Anayekupa majambo kisawasawa au anayefanya usafi kama mwanamke lakini kwenye majamboz hamna kitu?

Chriss jamani mbona wewe akili yako yote ni kwenye majambo?...mbona ndoa c majambo pekee.
 
Hivi kutandika kitanda ni lazima?? Sioni sababu ya kutandika kitanda wakati utarudi kukilalia mwenyewe
 
Hahaha! Kila utakayemuuliza hapa atasema hubby wake anamfanyia hivyo. Hata wife wangu huwa namsikiaga akijifagilia kwa wenzie jinsi navomsaidiaga! Kalaghabaho! All men same same. Nimesoma boarding school tangu O-level mpaka chuo, sikuona tofauti yetu. So, women, keep on cheating yourselves.

huyo wako ana yake, acfie pacpo cfika?....hakuna cha kufagilia na umfagilie bila sababu ili iweje? wengine na sie ha2saidiwi lolote, lakini tukiwa safari tunatoa na tahadhari kabisa" chumbani kwangu naomba aciingie kaka(h/b) kufanya usafi".....ujumbe unamfikia kwa mbali.
 
kazi ya kutandika kitanda ni ya mwanamke, hata kama akiwai kuamka mie bado nambonji nitakapoamka tuu aje kutandika kitanda bana, mwanamke mazingira aseee na yanaanzia kitandani!. mnaounga mikono inueni juu, haya gongeni senksi hapo!.
hahaaaaaa,
senk yuu ol.
 
mbadilike jamani khaa.
 
mi mwanamke akijisahau tu nikatandika kitanda(hata kama tuko gesti,awe kimada awe nani)......ANAPASWA KUISAHAU SURA YANGU HARAKA SANA
 
Chriss jamani mbona wewe akili yako yote ni kwenye majambo?...mbona ndoa c majambo pekee.

Kama ingekuwa si majamboz, ningemuoa dada yangu. After all ni mzuri kuliko wife. Asikudanganye mtu mama, Ndoa ni MAJAMBOZ! Kama ni usafi hata dada yangu na mama yangu wanayamudu sana, nisingekuwa na haja ya kuoa! Kwishnei!
 
mi mwanamke akijisahau tu nikatandika kitanda(hata kama tuko gesti,awe kimada awe nani)......ANAPASWA KUISAHAU SURA YANGU HARAKA SANA

Bwashee nimekutwangia senksi, kathibitishe. Na nyingine nakutwangia kwa hapa: THENKS!
 
Kama ingekuwa si majamboz, ningemuoa dada yangu. After all ni mzuri kuliko wife. Asikudanganye mtu mama, Ndoa ni MAJAMBOZ! Kama ni usafi hata dada yangu na mama yangu wanayamudu sana, nisingekuwa na haja ya kuoa! Kwishnei!
You can say it Again!! itafika wakati watakwambia ukaogeshe watoto!!
 
Bwashee nimekutwangia senksi, kathibitishe. Na nyingine nakutwangia kwa hapa: THENKS!
hahahahaha!umesomeka mkuu,utakula senksi ngoja nikanunue vocha,yule muhudumu wa zero pub ananibipu(posibo anataka mechi),akisahau kutandika kitanda nahama baa
 
hahahahahah ni kweli Pretty nampenda wa kwangu tuko 50/50 sometimes atakwambia wife na wewe uwe unapumzika hujakuwa punda ngoja nikamate usukani atatandika ,ataniandalia chai ,ataosha vyombo ila mie ndo najisikia aibu inabidi nisaidie atanifanyia vyovyote anavyojisikia
mabinamu Msiseme Limbwata hapa

Ni 'Mdhungu' nini?
 
You can say it Again!! itafika wakati watakwambia ukaogeshe watoto!!

sasa kwa suala la kuogesha watoto tatizo liko wapi? ni kuambiwa uwaogeshe au ni kwamba baba kuogesha wanawe ni vibaya??? mbona hivi jamani! khaa!
 
Kama ingekuwa si majamboz, ningemuoa dada yangu. After all ni mzuri kuliko wife. Asikudanganye mtu mama, Ndoa ni MAJAMBOZ! Kama ni usafi hata dada yangu na mama yangu wanayamudu sana, nisingekuwa na haja ya kuoa! Kwishnei!

mhh umeenda mbali kidogo, ngoja nikuachie hapa mana kila mtu ana tafcr yake ya ndoa......
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom