Siwaelewi wanaume wa karne hii

Women are dynamics,no one knows what a woman needs.
_Mwanamke ukimpa pesa kadri ya mahitaji yake atasema haumridhishi,hauna muda naye,hauna mvuto n.k
_Mwanamke ukimridhisha na kuwa na muda naye atasema "lakini hana pesa".

Kwa kweli nyie ni viumbe msioeleweka kabisa ndio maana tuliambiwa tuishi nanyie kwa akili.



 
Wanawake akili hamnaga sasa unatoka na kijana wa watu hana kazi anaishi nyumban kwao unataka akupatie laki 3 kisa umempa mbususu,fikiria ataipata wapi au unataka awaibie wazazi wake.

Akili za wanawake
Huo mfn tu ndugu
 
Ikiwa wewe huna hiyo laki 3 unategemea yeye awe nayo?? Halafu majukumu ya mwanamke ni yapi maana mnafanya mpaka ya wanaume siku hizi hamna mwenye majukumu specific yani pambana na hali yako.
Kwn we huyajui?
 
Ngoja waje dada, umejipanga lakini? Wana mineno michafu hao wakiguswa kunakogusika. Utaitwa majina yote.
[emoji2][emoji2] nawafahamu vzr ata hawanipi shida. Hawakubaligi ukweli ata siku 1
 
Tatizo matumizi ya papuchi tunaenjoy wote mtoaji na muombaji, lakin ela anaenjoy mpokeaji tu mtoaji anaumia
Timiza wajibu wako, acha kulalamika. [emoji1787]
 
[emoji2][emoji2] sijaingia jukwaani kwa umaarufu wa m2. Na sikujua km Kuna mtu anaitwa ivyo. Si Kila mda Niko uku. Sijakimbia mada nilikuwa bize kdg.
 
Na mara nyingi hua tunawaomba mbususu mkishaanza kulia shida ,
Nimekutana na ww Leo tu ,kesho tu zinaanza shida lukuki , sasa ntaachaje kukuomba mbususu kwa hali hiyo
 
Nashukuru kwa kuliweka sawa Ilo. Hajui kwamba wengine wanajiita majina halisi.
 
Mleta mada katelekeza "UZI" probably "Tumebasti her medulla" kwa comments[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nipo nipo mkuu, nilikuwa bize kdg
 
[emoji2] safi sn. Bora ww kdg umewapa nguvu kuwa watafute pesa
 
Wanawake wanaojielewa huwa hwana time na mipasho kama yako wewe inaonekana njaa inakusumbua tu yaani kuna mwanamke akitoka nje wanaume hatuishi kujigonga gonga kwakwe kwa misimu , mi esm ya mahaba na mi sms ya miamala ....
Ss km ww unatimiza wajibu wako bs tulia. Wahusika watajijua tuu
 
Ahahah jmn msitufanyie ivyooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…