Siwaelewi wanaume wa karne hii

Wacha weeeh!!
Ila kuomba papuchi mwanamke asie mkeo sio umalaya?
Kwa hiyo unataka kusema kua wanawake hua hawahitaji dusherere?
Msifanye mapenzi kama ajira , fanyeni mapenzi iwe sehem tu ya kuleta furaha na starehe ya kuongeza siku za kuishi , lakin
Mapenzi yakiwa ajira , mwisho wake ndio huu wa kuja kulalamika hujuapewa hela ,
 
[emoji2][emoji2] ss si unatoa huduma kulingn na Hali yako?. Ww km una sehemu ya kujishikza bs ni vzr. Mimi nasemea ambao hawawez ata kujilisha ugali wao wa siku 1. Kila ki2 baba afu ank mwanamke.
 
Yeye anadhani kujimwambafai ndiyo sifa mojawapo ya kumfanya aonekane ni wife material! Kumbe na yeye mwenyewe ni wale wale tu.

Maana hajatuambia sababu ya kumilikiwa na mwanaume asiye na kazi! Na anayeshindwa kumtimizia hayo mahitaji yake.
Teh teh teh umenifikiria vibaya
 
Nilitaka niongee lakini wanaume wenzangu wameniwakilisha vyema.
Dada ww unadanganywa na appearance ukimuona mwanaume kavaa vizuri unajua hela ipo pale [emoji16][emoji16][emoji16] unajisogeza
[emoji2][emoji2] wanaume walamba midomo hawana kitu. Nashukuru kwamba ata nyie wenyewe mnalitambua ilo
 
Kwanini uombe laki tatu?TAFUTA HELA YAKO UJARIBU KUHONGA LAKI TATU KWA MWANAUME UONE ILIVYO NGUMU.Hajakuoa,si Mme wako,wala baba yako,kwanini akupe pesa yote hiyo?
Weeeeee thubutuuu, laki 3 nzima nimuonge mwanaume?. Haijawah nitokea na sithubutu
 
ukiona umeshindwa kuhongwa jua wee ndo tatizo either una sura ya baba mikono ya mama
wenzako izo cash tunazivunja tuu kawaida
una milio mingi so jus chek ur self
[emoji1787][emoji1787] izo appearance havihusiani mkuu. Mbaya kwako, mzuri kwa mwenzako. We hujaona sura ya baba lkn anapendwa balaa na pesa km Kawa?. Toa izo mambo kbs
 
Kwnn na nyie hamtafuti kujaliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…