Siwaelewi wanaume wa karne hii

[emoji2][emoji2] tutaongea tutaongea.... Just enjoy tuuu, tunapoteza poteza muda kdg. Najaribu kuchota akili za jinsia ya me nione....
[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Yani ww unafananisha ile unakutana na mtu untk mbususu, unampa pesa, mnapeana alafu imeisha iyo. Mimi siko uko. Niliko Mimi ni Kule ambapo Kuna vitu vdg vdg tu ni lzm utamuhudumia mpnz wako. Ukatae ukubali, uduma kwa mwanamke wako ww unatoa
mm labda msosi na gharama za guest pamoja na nauli ya kurudia kwake baada ya zoezi.
 
Sasa na wewe nae mwanamke gani. Kwanza una date vipi na mwanaume hana kazi alafu unataka kumuomba tena laki tatu. Yaani unashindwaje kutumia mbususu yako kupata wanaume wenye mihela wakupe mihela na utamu?
Anapenda masharobaro a.k.a walamba lips unategemea nin lazima aumizwe
 
Saka pesa pimbi wewe. Na sio kutaka pisi Kali alafu huna uwezo wa kuihudumia [emoji13][emoji13]
Nakula pisi kali na zinazojielewa! Huwa hatubugudhiani kwa maswala madogo madogo ikiwemo kuombana pesa bali tunazitumia pamoja!
 
[emoji2][emoji2] sijalinganisha mapenzi na pesa. Nimesemea kujali na kujua majukumu yako km mwanaume. Ata ukimpa vch ya jero ni huduma tosha. Sio mpk laki 3 niliyotolea mfano
Lakini kutoa huwa kunapendeza mtu akikupa chochote kwa hiari yake na sio kwasababu anahimizwa! Mnaweza kusema wanaume wachache waliofanikiwa wakiwa na wake/wapenzi wao nikwasababu ya faraja njema kutoka kwa wake/wapenzi wao! Siku zote sisi wanaume kukishakuwa na mashinikizo ya kihuduma hapo ndio mwanzo wa hizo huduma kutoweka! Mfanye mwanaume ajione mfalme kwako, mshauri vyema, mpiganie na umlinde hapo utakuwa kama unakiwanda chako cha kuprinti hela zenu maana akili yake itawazia mema na moyo hautaona ugumu wala aibu kukutafutia! Sasa wewe jifanye kuwa umekuja duniani ili utunzwe utaishia kula vya haramu!
 
Vp kwan..tengeneza mwanamme wako ukae nae..c mnataka 50/50...mnalalamika nn sasa
 
Wanawake kuomba pesa mtu asiyemmewako ni umalaya . Hv kwanini wanawake huwa wanapenda kujipa umuhimu hivi
Mtu siyo mume wako haja jitambulisha kwenu na wewe wazaz wake hawa kujui halafu anataka kuhudumiwa na wanawake wengi hawa jielewi hawa jui kama mwanaume ana weza kukuhudumia Kwakuwa haja kupa mimba sasa ubebe mimba umzalie mtoto ndiyo utajua alikuwa ana kupenda kwel au alikuwa ana penda utelez wako.
 
Kila mtu atafute pesa zake, nikuzalishe nikulipe mwisho wa siku nimpate mwanangu nimsomeshe asome habari yangu na wewe kuishia hapo
 
Laki tatu?,na bado hujawa mke wangu!!
Aisee lazima usinielewe. SIKUPI.

Yaani unataka uwe na mwanaume anakupa hela ndo umuelewe!?
Labda MAFALA wa mapenzo ndo watakupa hela.

Yaani mala kibao nchi hii bado nitunze mtoto wa mtu!?
NEVER.

Laki 3 nanunua shamba kabisa na si ijabu nipata na hela ya kuchoma tofali.
Halafu nampa mtoto wa mtu kisa dudu tu!?.

Tandika kwa Wahaya nina hisa pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ