Siwaelewi wanaume wa karne hii

Unaongelea wanawake wa karne IPI kwa mfano , wanaume waliokua wanafukuzia mbususu mwezi hadi mwaka ulikua zamani sio sasa hivi , nyie wa karne hii , dakika sifuri tu , unachukua unaweka waaa ,
Wanawake wa Karne hii ndo Hali zao zilivyo ivyo
 
Tukifanya ivyo mnatuona wajeuri, kwsbb tunatafuta pesa zetu wenyewe
 
Usikariri jombaa
 
Tofautisha anayejiuza. Na huduma yako kwa mwanamke wako umpendae. Ukilijuo Ilo bs hutoleta makasiriko
 
Nyie wanawake wenyewe sisi hatuwaelewi.
Acha tu tusielewane, kwani nini bwana
 
Mnatuharibia dunia yetu mnataka iwe si salama kwa kuishi bila kipato. Sipati picha wadogo zako wakija kuomba ushauri kutoka kwako, mjadala huwa hivi

Dogo: dada kuna kaka ananitaka kila siku ananisumbua

Dada: Hmmm unamuonaje huyo kaka?

Dogo: namuona kawaida tu handsome hivi

Dada: acha ujinga wewe simaanishi hivyo

Dogo: sasa unamaanisha nini?

Dada: anaonekana ana hela au?

Dogo: Mimi sijui jamani.

Dada: Anapokujaga kukutongoza huwa anakuja na usafiri gani?

Dogo: Anakujaga kwa miguu tu

Dada: duuh mdogo wangu hujamuuliza anafanya shughuli gani?

Dogo: Hapana lakini mara nyingi namuonaga pale kijiweni wanapopaki bodaboda muda mwingine namuonaga kwenye michezo ya kubeti.

Dada: Dooh mdogo wangu kalagabao sikushauri mdogo wangu, huyo atakutumia tu hana mapenzi kabisa na wewe. Kwanza kama havuti bangi huyo sijuiiiii.!

Dogo: Haa hata mimi nilihisi hivyo dada yani kesho ole wake anifate nitamchamba huyo hataamini.

Dada: eeh dogo tafuta mtu mwenye maisha akuhudumie hupendi kupendeza wewe?

Dogo: Napenda dada.

Dada: sasa mwanaume suruali sikuhizi hawafai tafuta danga lako likupe maisha mjini hapa o hoooo.
 
Tofautisha anayejiuza. Na huduma yako kwa mwanamke wako umpendae. Ukilijuo Ilo bs hutoleta makasiriko
Huduma ni kwa mke sio kwa demu dada. Tofautisha mke na demu. Mke anahudumiwa labda mambo yakiwa mabaya tunaambiana lakn demu hahudumiwi zaidi ya ofa za kulainisha kuombea mbususu. Hivyo litambue hilo ndio maana hairuhusiwi kumsomesha mchumba na hata sheria za nchi zina ruhusu kumpokonya mchumba mali yako uchumba ukifa kwa maana sio jukumu la mwanaume kumlea demu.
 
Izo izo ofa unazotoa, ndizo huduma.
 
[emoji23][emoji23] ndo mn ikaitwa jf, mkiwa na majina si ya kweli. Ata mambo ya umu si ya kweli. Usijijengee picha ya mtu usiyemjua
 
kuna huduma bila pesa? Unawezaje kutofautisha pesa na huduma? Kila huduma dunia hii uenda sanjari na pesa.
Yani ww unafananisha ile unakutana na mtu untk mbususu, unampa pesa, mnapeana alafu imeisha iyo. Mimi siko uko. Niliko Mimi ni Kule ambapo Kuna vitu vdg vdg tu ni lzm utamuhudumia mpnz wako. Ukatae ukubali, uduma kwa mwanamke wako ww unatoa
 
Mwanamke wa aina Yako ni waku suuzia Rungu na kusepa...

Kama laki 3 unaona ni easy kwann usiwe nayo wew then unapiga mizinga.....

Datc why huwaga sinaga shobo na wanawake wasio timamu......
Ujaelewa mada vzr, acha kukurupuka.
 
Hizo sio huduma ni hongo. Au hayo ni manunuzi maana natoa huku najua dhumuni ni zinaa inatafutwa
Hongo itakuwa ni kwa mwanamke usiyemuitaji, ni part time tu. Kwa mwenye malengo naye iyo sijui utaiita nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…