Siwaelewi Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu, TLS, Tume ya Haki za Binadamu

NEC hii inawahusu sana.....!!!!!

Hivi kabisa kabisa kabisa Watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri?
Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "MKICHAGUA UPINZANI SITALETA MAENDELEO HAPA" Kweli???? Kwani maendeleo hapa maanake nini??? Ni kuboresha huduma za kijamii?? Au inamaana nyingine?

Kwamba mgombea anaahidi kuvunja katiba kwa kuwabagua wananchi katika maendeleao kwa minajili ya CHAMA/VYAMA vya siasa??? Kweli kabisa??? NEC mpo kimya? Watanzania wote wapo kimya??? Na wanashangilia na kupiga makofi?

Yaani kiongozi mkubwa kabisa wa nchi anayeaapa kuilinda katiba kabla ya kurudi Ikulu anaapa kwabagua wananchi wake kwa minajili ya vyama vya siasa???? Hivi huyu ni kiongozi au mtawala??? Is he a Leader or a Ruler?

Hivi kodi hizo wanaolipa ni CCM pekee???? Muda wote hii nchi inamatukio yatiayo kinyaa na kichefuchefu.

OMBI...KANISA KATOLIKI TANZANIA LITOE TAMKO KALI LAA HATUWATENDEI WAUMINI WETU NA WATANZANIA WOTE YATUPASAYO MBELE ZA MUNGU..
Kwanza acha siasa za namna hii kuliingiza kanisa katika masuala Kama haya lakini pia wananchi wanapaswa kuchagua viongozi wao kwa mategemeo kwa hyo mgombea yyte anaweza kusema kwa kuwa suala la maendeleo ni katika uongozi ni mchakato kuanzia ngazi ya chini hadi juu kwa ndani ya huo mchakato ikitokea mmoja akaamua kuumwamisha manake wananchi watachelewa kupata maendeleo kwa maslahi ya mtu fulani kisiasa au vinginevyo sasa ili mambo yaende kwa kasi kusiwepo na vikwazo kwa hyo statement hii ukiangalia in a simple perspective utaona haiko sawa but ukiangalia kwa jicho la kiuchambuzi iko sahihi
 
NEC hii inawahusu sana.....!!!!!

Hivi kabisa kabisa kabisa Watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri?
Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "MKICHAGUA UPINZANI SITALETA MAENDELEO HAPA" Kweli???? Kwani maendeleo hapa maanake nini??? Ni kuboresha huduma za kijamii?? Au inamaana nyingine?

Kwamba mgombea anaahidi kuvunja katiba kwa kuwabagua wananchi katika maendeleao kwa minajili ya CHAMA/VYAMA vya siasa??? Kweli kabisa??? NEC mpo kimya? Watanzania wote wapo kimya??? Na wanashangilia na kupiga makofi?

Yaani kiongozi mkubwa kabisa wa nchi anayeaapa kuilinda katiba kabla ya kurudi Ikulu anaapa kwabagua wananchi wake kwa minajili ya vyama vya siasa???? Hivi huyu ni kiongozi au mtawala??? Is he a Leader or a Ruler?

Hivi kodi hizo wanaolipa ni CCM pekee???? Muda wote hii nchi inamatukio yatiayo kinyaa na kichefuchefu.

OMBI...KANISA KATOLIKI TANZANIA LITOE TAMKO KALI LAA HATUWATENDEI WAUMINI WETU NA WATANZANIA WOTE YATUPASAYO MBELE ZA MUNGU..
Huyu mtu hakustahili kabisa kuwa Rais wa nchi yetu
 
Kwani nyie mkisema mkichaguliwa mtauza ndege na sgr kuna tofauti gani?
 
Ole wao wachague upinzani ,watanywea maji kwenye karai
 
Nani kakwambia hii nchi ni ya kanisa katoliki?,idiot

Hana kabisa............

Ila Magufuli amelewa madaraka vibaya mno, ndiyo sababu anayatamka hayo, akijua kabisa anayatamka maneno hayo, akiivunja Katiba ya nchi waziwazi kabisa!
Na akipata mingine 5 ndiyo itakuwa balaa zaidi ......!!
 
Kila siku nasema hapa ..
Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania.

Huwezi ukaongea ujinga ka huu Kenya ukashinda. NEVER !!
 
NEC hii inawahusu sana.....!!!!!

Hivi kabisa kabisa kabisa Watanzania pamoja na tunu zetu zooooote tunakubali hili kwa gharama sifuri?
Mgombea yupo kwenye kampeni za kiti cha uongozi wa juu kabisa katika nchi hii anaahidi wapiga kura watarajiwa na wananchi kwamba, "MKICHAGUA UPINZANI SITALETA MAENDELEO HAPA" Kweli???? Kwani maendeleo hapa maanake nini??? Ni kuboresha huduma za kijamii?? Au inamaana nyingine?

Kwamba mgombea anaahidi kuvunja katiba kwa kuwabagua wananchi katika maendeleao kwa minajili ya CHAMA/VYAMA vya siasa??? Kweli kabisa??? NEC mpo kimya? Watanzania wote wapo kimya??? Na wanashangilia na kupiga makofi?

Yaani kiongozi mkubwa kabisa wa nchi anayeaapa kuilinda katiba kabla ya kurudi Ikulu anaapa kwabagua wananchi wake kwa minajili ya vyama vya siasa???? Hivi huyu ni kiongozi au mtawala??? Is he a Leader or a Ruler?

Hivi kodi hizo wanaolipa ni CCM pekee???? Muda wote hii nchi inamatukio yatiayo kinyaa na kichefuchefu.

OMBI...KANISA KATOLIKI TANZANIA LITOE TAMKO KALI LAA HATUWATENDEI WAUMINI WETU NA WATANZANIA WOTE YATUPASAYO MBELE ZA MUNGU..
Tatizo lipo kwenye taasisi zetu za usalama magu sio presidential material. Sidhani kama ana akili timamu
 
Tupambane sisi wananchi wenyewe , viongozi wa dini ni wanafiki wa kutupa kwa kushindwa kumkemea Magufuri na vitendo vyake hata mbinguni hawaendi , Bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magoti .
IMG_20200921_121131.jpg
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nchi yetu ndipo ilipofikia hapa. Vyombo hivyo ulivyivitaja vimekuwa kimya kabisa huku huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akivunja taratibu zote za kampeni za uchaguzi kila siku iendayo kwa Mungu lakini hakuna wa KUMKEMEA.

Wastaafu nao kimya kabisa wakimuogopa. Inasikitisha, kuudhi na kushangaza sana. Yanini kutumia billions za walipa kodi ili kufanya uchaguzi FAKE uchaguzi HARAMU.

Back
Top Bottom