Siwaamin wanawake tena!!

Tatizo Sio Hao Wanawake Tatizo Niwew Maandiko Katakatif Yanasema Ishini Na Wake Zenu Kwaakili Nihilo Tu Mkuu.
 
Nikimpata huyo atakae kuwa zombi kwangu nami ntakuwa zombi kwake hapo kutakuwa hakuna wa kututoa kwenye huo uzombi wetu.
Mbona hao wapo jamani unajua limtokalo mtu kinywani ndiyo linalomtia unajisi,baadhi ya wanawake siku hizi neno pesa ndo habari ya mjini wenyewe wanasema hata kama ukweli siyo huo tayari kauli imesha loga kwa hiyo wanaume wengi wako mguu pande mguu sawa katika mahusiaono wakiamini mahusiano siku hizi bila pesa hayawezekani
 

Subiri mgando ukukabe, utasahau, utajisevia.
 
Mbona wengi tu mwanaume ukimkamata vizuri mbona anakuwa zombi ukikohoa tu hata kama mate yamekupalia huyu hapa,tatzo ni kwamba siku hizi pesa zimewekwa mbele kwa hiyo wamekuwa waoga

Kumbe ee,ngoja nimsake then nimweke sawa
 
Kumbe ee,ngoja nimsake then nimweke sawa
Hilo ndo la msingi,tatzo huwa tunafanya maamuzi kwa kuangalia fulani kafanyaje ndo tunapokosea hapo eti kwakuwa shost wako alifunga ndoa na mkacheza kwaito sana yakimshinda ndo anakuwa reference yako tunakosea sana analoshindwa mwenzio haimaanishi na wewe litakushinda
 
My take is..... turn to MEN they are angels, intelligent and bright! Don't waste your time with women! they aren't worth it!
 

khaa..aya mambo bado yapo.....iv nikifuata izo procedure si ntaachwa solemba.....mi nanyima pasiwodi...wenzangu wameacha zote....ntasalimika kwel??
 
Habari mkuu. ngoja mi nikupe ushauri mzuri kbsa. kwanza pole sana kwa janga km hilo, ni janga la dunia kwa pande zote mbili wanawake kwa wanaume. kwanza ukija kwenye vitabu Mungu ameahidi kua mtu hatokua na furaha ya uhusiano nje ya ndoa, kila siku itakua ni vikwazo tu maana aliebariki hayo mahusiano ni shetani na sio Mungu. ila japo sio asilimia mia ila kwa asilimia kubwa na kinyume chake pia. Pili inategemea na wanawake unaowafukuzia, utakuta mtu kaachana na mpenzi wake wiki mbili tu iliopita tayari ashapata mpenzi mwngne hlf anasema wanapendana kweli, hamna mapenzi ya kweli ya hivo. fanya subira, achana na kutongoza wanawake, kua mtu wa subira, piga konde na hayo matamanio yko kwa muda mrefu tu hata miaka, nakuhakikishia atatokea tu mwanamke mmoja atakupenda ww mwenyewe hautoamini. Mungu anaopoumba roho ya binadamu anaumba roho mbili ya mwanamke na mwanaume kwa pamoja, kwahiyo una perfect match wako ambae yupo sema hujui ni nani na huwezi kujua km utakua unaruka leo kwa huyu kesho kwa yule km unataka penzi la dhati. ila km unataka ulimwengu wa kujiachia, basi jiachie tu na usiweke mahusiano km kigezo muhimu kwako ila km ni muhimu kwako bac anza kubadilika, achana na wanawake hawa wapo tu, atakuja 2 mwenyewe wako muenzi wa pekeako. ASANTE
 
Dogo tulia songesha maisha hayo ni sehemu ya mchezo.....
 
Don't trust no one?..mmmmmh haya....mi napita tu
 
Shssss!!! Mamako akikusikia utajua kama kuna wanawake na wanawake. Umezungukwa na wanawake kila mahaki.dadazako.shemeji zako. Mashangazi.bibi.majirani nk. Si unajitafutia stress bure.
Ni kawaida ya watu wasioaminika kulazimisha kuaminiwa. Kuaminiana kunajengwa.kulelewa nk.
Ni utoto tu ukikua utaacha.
Watu wanamwamini mwenyezi Mungu wewe unawaamini wanadamu. Pole we!!!
 
DON'T HATE THE PLAYER,HATE THE GAME....jipange upya.....ts good being single pia,
 
Everything is posibo u can even turn a ----- to a housewife, wewe ujipange vyema na principles zako bz it is nt easy as it sounds bro.
 
Usimwamini binadamu kirahc ivo tena hawa unakutana nao una meno 32 aaaarrrrgh ni wehu mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…