QUEEN SHAKIRA
Member
- Oct 22, 2019
- 38
- 70
- Thread starter
- #41
Hahaa
Vyoteee
Vyoteee
Ata kile cha kufutia kioo cha smartphone...
Ata kile cha kufutia kioo cha smartphone...
Kata kitambiiiThat's yo personal issue...baki nayo moyoni kwako
Umeipenda?Nzuri hii!
Nachukia kitambi japo naweza kukipata mbeleni mambo yakinyoka maana hatukawii kujisahau/kurizika na kuanza kujimwambafai kwa mafanikio jambo ambalo linakuwa chanzo cha kupata vitambi ovyo ovyo
Sivutiwi na mwanaume asie na pesa
Sijui kwanini basi tu [emoji23]
Kata kwanza chako kijana na fekero aidiiiKata kitambiii
Mm mbona napenda wanawake wenye kitambi kiasi..
Ukirizika tu hata kama huna pesa utakipataHa ha kitambi huwa kinakuja tu.. Nikiangalia picha za zaman huwa najiuliza ndo mimi kweli, pesa huwa zinakuka na kitambi/unene hilo halina ubishi!
Kata kwanza chako kijana na fekero aidiii
Kuna kinachokuja na mabadiliko ya unene..lakini isiwe too much kama pichaniHa ha kitambi huwa kinakuja tu.. Nikiangalia picha za zaman huwa najiuliza ndo mimi kweli, pesa huwa zinakuka na kitambi/unene hilo halina ubishi!
Hayo ni madhara ya kudate na mabounsa umezoea matuta ya tumbo..Hahaa
Vyoteee
Umeumia?
Nishamaliza arifu...
Kijana wa kiume kuanza kujipa majina ya kike...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na manka anakipenda?
Ile mimafuta inayojirundika mbele naijiuliza hawaioni?
Hata kama ni maisha mazuri na kuridhika ni ngumu kujali afya na muonekano?