From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,826
Hupendezwi na wanaume wenye vitambi au hupendi mwanaume wako awe na kitambi?
What the *** do you want in another mans life?
What the *** do you want in another mans life?


Mtoa mada hawa jamaa wenye vitambi wengi wanapesa hutaki pesa wewe ?
Unataka mwenye six pack kama Mimi mfukoni sina kitu
Mo dewji hizo level utasikia kwenye bomba tu mkuu
Kibongo bongo mwenye kitambi ndio mwenye pesa
Mtu yeyote mwenye kitambi namuona mvivu au mzembe kwa afya yakeMimi binafsi wanawake wenye vitambi na viribatumbo pia siwapendi.
Ni kweli kabisa, asilimia kubwa wapo hivyoMtu yeyote mwenye kitambi namuona mvivu au mzembe kwa afya yake
ID mpyampya hizi ni hatari
Nakipenda hiki kitambi changu cha kufutia simu na kuchomekea shati linaonekana limekaaSio kila mwenye kitambi ana pesaa
Naona mwenye kitambi umenikomalia.
na ni afadhali ya mwanaume na si mwanamke, all in all kitambi sio ishu kabisa. Tu control life styleIla tuseme tu ukweli, kitambi kikizidi kwa jinsia zote kinakuwa kero..
Nachukia kitambi japo naweza kukipata mbeleni mambo yakinyoka maana hatukawii kujisahau/kurizika na kuanza kujimwambafai kwa mafanikio jambo ambalo linakuwa chanzo cha kupata vitambi ovyo ovyoNi kweli kabisa
Haipendezi kwa jinsia zote
Nzuri hii!Mother of all snipers
Wanawake wakivipata wanakuwa mabonge sana(mwili wote) hadi nyama zinaanza kuning'inia, wanakosa mvuto jumla jumla.na ni afadhali ya mwanaume na si mwanamke, all in all kitambi sio ishu kabisa. Tu control life style
Mi ni kimbau mbau na pesa sina hapo vipi
Ile mimafuta inayojirundika mbele naijiuliza hawaioni?Wanawake wakivipata wanakuwa mabonge sana(mwili wote) hadi nyama zinaanza kuning'inia, wanakosa mvuto jumla jumla.
Tuzingagie life style zuri hata kama tunarizika kutokana na mafanikio tunayoyapata