Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,907
- 28,081
Sijawai kuwa na kitambi.....
Nataka unipende ww
Jifanye hamnazo tu..
Nkupeleke wapi na mtumbo wako ka furushi la mwizi
Kwani wewe tako lipo? Ndembendembe au halitingishiki?
Olewa na bankSivutiwi na mwanaume asie na pesa
Sijui kwanini basi tu![]()
Six pack, 25yrs atam mdrill dame kama mtarimbo wa kuchoronga zege.Mtoa mada hawa jamaa wenye vitambi wengi wanapesa hutaki pesa wewe ?
Unataka mwenye six pack kama Mimi mfukoni sina kitu
Saizi wadada wanaongoza kwa kuwa na vitambi Kwasasa