QUEEN SHAKIRA
Member
- Oct 22, 2019
- 38
- 70
Sijui kwanini ila basi tu[emoji23]
ID Yako nyingine ni ipi!
Vivyo hivyo usivutiwe na pesa kabisa
Kitambi kwa mwanaume mchezo unalala, ila pia kitambi kwa mwanamke, mchezo haunogi.Ila tuseme tu ukweli, kitambi kikizidi kwa jinsia zote kinakuwa kero..
Nina bonge la kitambiiii
Kwakweli sijuiKuna Mwanaume anavutiwa na Mwanamke mwenye kitambi?
ID Yako nyingine ni ipi!
Ila tuseme tu ukweli, kitambi kikizidi kwa jinsia zote kinakuwa kero..
UmekaririVivyo hivyo usivutiwe na pesa kabisa
Vitambi ni kwa wenye pesa
Mazoea tumbona wenye vitambi ndo kimbilio la madem au wanasakaga pesa tu?
Mo dewji hizo level utasikia kwenye bomba tu mkuuUmekariri
Kuna wenye vitambi full kufakamia masupu ya utumbo na bia za ofa.na pesa hawanaaa..hawanaa hata buku!
Na bado kuna watu wako smart hapana vitambi na pesa wanazoo
Mo dewji ana kitambi?