kituo cha tv TBWAY ndio mtayarishaji wa vipindi mtu hata degree haijui maana yake ni nini
wategemea kuna kitu hapo?
wewe mama acha kuwaza ujinga kama mende aliyekunya sumu! jadili mada iliyo mezani acha kujadili personal issue ya mtu anzisha uzi wako!
Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.
Wale wa team nani sijui hawakuelewi maana kuna watu wakiwaona tu hao wakuu wa team zao ndio burudani kwao ndio maana na EATV wakaona ni fursa ya kiiashara na lazima wanatengeneza ela kutokana na hicho kipindi, hii ndio Tanzania yetu ukileta kipindi cha ufugaji wa nyuki wa kisasa hakuna anaekusikilizaHavına hata matangazo ya kutosha.Ni kweli kabisa vile vipindi havieleweki, hata havitoı burudani yoyote.