Sivielewi vipindi hivi vya EATV

Sivielewi vipindi hivi vya EATV

Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.

kituo cha tv TBWAY ndio mtayarishaji wa vipindi mtu hata degree haijui maana yake ni nini
wategemea kuna kitu hapo?
 
Basi mimi nilikuwa sijuwi kumbe Gadina ananifata kwa nyuma akaanza kupiga mahoni pwaaa pwaa pwaa!
Oooooh sorry! Hata Mimi sikipendi!
 
kituo cha tv TBWAY ndio mtayarishaji wa vipindi mtu hata degree haijui maana yake ni nini
wategemea kuna kitu hapo?

Wewe muongo Vipindi tajwa havitayarishwi na T bway bali vinaletwa tuu ni vipindi binafsi na kinacho fanyika ni uhariri tuu! Kwanza kwenye mambo hayo uzoefu ndio kila kitu..T bway ana shirikiana na maproducer zaidi ya wawili kuandaa Friday night live.
 
Bila kusahau Show ya 5SELEKT

LIKE Niku ADD
 
Last edited by a moderator:
Vipindi vile si vya kisanaa kabisa.

siangalii tena.

Hakuna cha sanaa wala nini
Tz badi tupo nyuma sana watu wengi hawaelewi
Yaani mtu anatuletea mambo anayofanya huko kwake hee but eatv si wanavuta chao hawajali!

Bora wangeonyesha hata tom and jerry
 
Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.

Sasa na wewe kama unataka elimu si uende chuo ukasome mpaka uwe profesa?. Kwenye tv unataka elimu gani tena
 
Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.

Ili vijana wa Taifa hili muendelee kuwa wajinga kwa kujadili mambo ya kipuuzi mfano wa Wema na Diamond wakati huo muachane na attention ya vimeo vya CCM na makashfa yanayowaandama
 
Wewe muongo Vipindi tajwa havitayarishwi na T bway bali vinaletwa tuu ni vipindi binafsi na kinacho fanyika ni uhariri tuu! Kwanza kwenye mambo hayo uzoefu ndio kila kitu..T bway ana shirikiana na maproducer zaidi ya wawili kuandaa Friday night live.

Hivi mie nimesema Tbway anatengeneza vipindi vya diary ya lady jay dee au nimesema tbway anatengeneza vipindi vya Tv Eatv?
mbona una ugumu wa kuelewa we rugemalila
 
Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.
EATV ni stesheni maalum kwa ma house maid. Wafanya kazi wa ndani. Wao wanaelewa maana ni levels yao. Wewe tafuta DSTV Uangalie discovery au history channel vilivyoandaliwa kisomi kwa ajili ya wasomi
 
wewe unatafuta pesa muda gani maana kutwa nzima post zako zimejaa jf na na unaangalia eatv?
 
Ni burudani mkuu kuona watu wakiendesha magari yao wengine hatuna wakila hoteli nzuri kama unalipia king'amuzi ni sawa na vile vya marekani cha Keeping up with Kardashians au Ice loves coco au The real wifes of Atlanta
Aah ile ya The real wives of Atlanta ni shidaaaaaa! Wana pesa hadi wanakufuru sometimes!
 
Hakuna cha sanaa wala nini
Tz badi tupo nyuma sana watu wengi hawaelewi
Yaani mtu anatuletea mambo anayofanya huko kwake hee but eatv si wanavuta chao hawajali!

Bora wangeonyesha hata tom and jerry

Huo sasa wivu mkuu basi muwe mnaangalia li- TBC.. Maana sio lazima kuangalia.,!! Ila vipindi kama hivi wakifanya mastaa wa America ni sawa tuu..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom