mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Punguzeni wivu na ushamba sio lazima kuangalia EATV..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
wewe unatafuta pesa muda gani maana kutwa nzima post zako zimejaa jf na na unaangalia eatv?
Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.
Kwahyo unataka kuniambia mzee azam hana ndugu zake ambao ni maskini? kwan hao wasanii ni kina nani hadi wasiwe na ndugu maskini?
kwakweli wanachezea hel a tu siwachukue watoto yatima wawatunze mf. jaydee hana mtoto iyo hera anayo chezea angetafuta hata watoto kumi akae nao awasili kama watoto wake kuliko kutuonyesha hata akiwa chooni
Hivyo vipindi havina maana yoyote
I mean havina tija wala nin katika jamii
nonesense kabisa bora wakatoe korie na mchele kwenye vituo vya yatima
Hivi huyo jide kwenye hiyo diary yake eatv amewahi onyesha anavopigwa na gardner?
Maana kipindi si ni real life, mnaotizama mtujuze.
Angalia tbc tuu.
Aisee acha tuNi Usanii! Ila vile vipindi ni usanii2. havina issue
Kuna vipindi viwili Eatv diary ya Lady jaydee na In my shoes ya Wema Sepetu nimejaribu kuangalia vipindi nimeshindwa kuelewa lengo lake hasa ni lipi sioni vinatoa elimu yoyote kwa jamii.
kituo cha tv TBWAY ndio mtayarishaji wa vipindi mtu hata degree haijui maana yake ni nini
wategemea kuna kitu hapo?
Wivu ndo mnyama gani wewe mzee
Kuna mambo ya maana ya kufanya si watu kutuonyesha sandarusi mabakuli sahani na blablabla angeenda kupanda mbegu tumboni abebe mimba
Huo ni ukosefu wa familia na angekuwa na watoto asingekumbuka hata upumbafu huo anaofanya on air
Labda unambie anapunguza machungu ya ugumba wake??? Siwez ona wivu wala nini sabu nasaka ugali kwa nguv zangu we mzee
Vipindi vile si vya kisanaa kabisa
Acha ushamba vile vipindi vya KIM KARDASHIAN kule AMERICA je
Vya hao watahakikisha wanaangalia na kuleta story za kim
Pia ni sehemu ya EATV kujiingizia kipato na kuiwezesha serikali kukusanya kodi maana washabiki wao wataangalia hivyo wadhamini wa kipiti wanapata mileage ya kutosha