Siungi mkono ukatili lakini...

Tusipoelewana ni sehemu moja tu.unaisema jamii inafanya unafiki kwakua imeanza kukemea saizi.

Ndio nikakwambia hili suala jamii inalikemea mara kibao ila tu hawakupata kuwa wamoja kwakua halikutoka juu.

Hivyo tusiseme jamii ni nafiki.

Pia hao unao wasema kina bashite kuwa hadi walipiga nao picha ni kweli na watu waliongelea hiyo ishu.

Mwishowe bashite kaja na program though approach yake sijaungana nae.et tunamwita mnafiki.Binadamu tunaenda mbele tukijitafakari tunarudi nyuma.

Hivyo cha msingi ni kupinga hili suala na sio kwanza kusemana unafiki
 
Ni unafiki ambao umetusababishia matatizo na tunaingia mikenge kwa ushamba. It takes time to understand sometimes!

Kama hatua alizozichukuwa hakuwa na sababu binafsi, then endelea kusema kuwa siyo wanafiki. Maana tuliona haya haya kwenye ile ya madwa ya kulevya kumbe ni kuchafuana tu. Na sasa hivi, alichosema ni yeye kupelekewa majina, na huku wengine walipiga nao mapicha na kwasababu wao ni role models, na vijana wanawatizama, basi ni sawa tu.

Ingekuwa ni kwa jamii na si unafiki, basi wangefanya toka mwanzo na si sasa tu, na pia siyo kupiga nao mapicha.

Hilo la kujidai kuchukuwa hatua, ndilo lilosababisha serikali ije na tamko ambalo bado linaonyesha unafiki mwingine juu ya unafiki.

Kaazi kweli kweli!
 
Mkuu wewe ushauri wako ni upi juu ya hili
 
Mkuu wewe ushauri wako ni upi juu ya hili
Tuna wakurupukaji na waache kukurupuka kwa masifa, ama kwa nia zao ovu na binafsi dhidi ya wengine, mfano kuchafuana nk, kama ilivyokuwa kwenye ile issue ya madawa ya kulevya!

Mambo kama haya ya kutuwekea usiku yanakuwa ndo usenge wenyewe kuliko hata usenge wenyewe.

Kama nia ikiwa njema itajulikana. Hali ya ushoga Tanzania inafahmika miaka neda miaka rudi. Kama limekuwa ni tatizo kubwa kama ilivyo kwa umasikini na ujinga, then waseme na waweke wazi.
 
Najua huungi mkono kuachia video hadharani... ila mengine yote unaunga mkono... Yaani asingerusha video, mambo kwako ni shwari tu. Hizi video hizi... shenzi sana!

Mpare bhana...
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144]shimboni mkishimundu
 
Oh!You know English too huh?Unafiki hadi makalioni!

Na bado!
Vp mbona mipasho tena? Hii sio sifa ya kiumeni.. Twende kwa hoja.. Mipasho tuwaachie kina mwajuma ndalandefu.. Kupaniki ni dalili za kukosa uzoefu wa kuhimili mijadala...
 
Asante lakini watajitokeza wachangiaji hapa, utabaki na mshangao vile watakavyolitafsiri bandiko lako... Uwezo wa kusoma, kuelewa na kuchangia kitu katika uhalisia wake ni janga lingine JF
 
Ndio maana nikasema kwamba uwezo wa kusoma kuelewa na kuchangia mada JF limekuwa ni tatizo kubwa....
 
Asante lakini watajitokeza wachangiaji hapa, utabaki na mshangao vile watakavyolitafsiri bandiko lako... Uwezo wa kusoma, kuelewa na kuchangia kitu katika uhalisia wake ni janga lingine JF
Mkuu napata shaka sana na uwezo walionao vijana wetu wa sasa katika kupambanua mambo,
 
Mkuu napata shaka sana na uwezo walionao vijana wetu wa sasa katika kupambanua mambo,
Twende nao taratibu, kwa hekima na bila taharuki wataelimika tu japo kwa uchache sana
 
Sifahamu nifundishe

Ukishamaliza kufundisha unisaidie body language ndio facts za kwamba anajifanya na wewe uka draw conclusions ?
Basi kama hufahamu hakuna mjadala tena...
 
"Akajifanya hawezi kukaa vizuri kwakuwa huko mahabusu kafanyiwa kitu kibaya sana...."

Hiki umeakikisha vipi kuwa alijifanya ?
Unafahamu kitu kinaitwa body language?
Sifahamu nifundishe

Ukishamaliza kufundisha unisaidie body language ndio facts za kwamba anajifanya na wewe uka draw conclusions ?
Basi kama hufahamu hakuna mjadala tena...
Kwa hiyo hapa ndio umejibu swali ulilo ulizwa ? Halafu mnajiita home of nini sijui ?

Unaleta mada unaulizwa swali unashindwa kutetea ulicho leta halafu unataka kila mtu akubaliane na hisia zako kwamba ndio ukweli.

Amber ruti akikufungulia kesi mahakamani kwa uzi huu ushaidi wako utakuwa huo wa body language ?
 

Hapa sio mahakamani na silazimiki kujibu kila kitu..... Naangalia najibu nini, namjibu nani na kwanini najibu.... Kuna maswali hayana mantiki kwa mtazamo wangu... Maswali kama hayo sishughuliki nayo, kwakuwa hapa sio chekechea....
 
Hapa sio mahakamani na silazimiki kujibu kila kitu..... Naangalia najibu nini, namjibu nani na kwanini najibu.... Kuna maswali hayana mantiki kwa mtazamo wangu... Maswali kama hayo sishughuliki nayo, kwakuwa hapa sio chekechea....
Ona ulivyo kuwa mtupu huko kichwani halafu mtu mzima huna aibu kuficha ujinga wako hadharani ...umesema kajifanya unaulizwa umejuaje kajifanya unajibu kejeli

Wewe ni daktari wake ? Ulikuwepo naye mahabusu ?

Kaendelee na mada zako za kichawi huko mambo mengine yanahitaji majibu ya kitalaamu sio kupiga ramli zako na kujifanya una akili sana kuliko kila mtu humu ndio maana ukaniweka kwenye level ya chekechea ..Elimu yenyewe ya kuunga unga Kwa ulivyo jibu hili swali hata hiyo Mlimani nina uhakika hujakanyaga.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]taharuki ya nini sasa.... Ukiingia kwenye mjadala jitahidi usipaniki, huo ni udhaifu mkubwa sana.... Halafu kwako wewe elimu Kubwa iko mlimani... [emoji13].... Sometimes kukaa kimya huficha upumbavu mwingi
 
Niko hivi simple sana ukinijibu mavi nitakujibu mavi sikuangalii usoni unaulizwa swali unaleta kejeli za kipumbavu ulitegemea nini

Waje wenye busara hapa halafu wapime mimi na wewe nani mpumbavu kwa haya tuliyo ulizana halafu uone majibu yake yatamuweka nani uchi.

Kuchamba kwingiii mwishowe utaondoka na mavi
Halafu mwanaume kucheka cheka hovyo kwenye mambo ambayo hayachekeshi ni usenge.. usiniulize nimejuaje ni usenge nitakujibu "unaifahamu body language"
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mipasho uko vizuri... Unaufahamu usenge lakini hutaki kuulizwa umeufahamuje? [emoji87]afterall nisingekuuliza kwakuwa ni nje ya mada...
Nikushauri kitu kama unaona nakujibu kejeli pita kushoto huna haja ya kukomaa na hii post... Kuna maneno yanasema mjibu mpumbuvu kadiri ya upumbavu wake....
Tayari unataka 'tuwaite wenye hekima' uuwii kumbe wewe huna hekima! Halafu watoe hukumu... Uuwiii... Jamii forum inaelekea wapi?
Guy it takes 72 muscles to frown and only 3 to smile... Kwanini nikaze misuli yangu na nisifurahi kwa vijembe na mipasho ya fake ID? I will always laugh
 
Hizo "uwiiii " unazotoa ni mikito imekukolea ? Huwezi kunipangia nipite kushoto sijui kwenye post yako ,Jamii Forum sio ya mama yako hii ,unapoleta mada huku hauna hati miliki nayo
Kajifunze kwa Manguli walio starahabika humu kina Paskali Mayalla narudia tena tabia za mwanaume kucheka cheka kwenye mambo yasiyo chekesha ni "usenge "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…