Siungi mkono ukatili lakini...

Mkuu sijui wewe ni dini gani unayetetea huu upuuzi, Kama wewe ni islam naomba nisaidia aya inayohalalisha, huu uzi umeeleza kila kitu sina la kukujibu
 
Hizi tabia ni kemikali zinazochanganywa maabara, na wanajamii wenyewe tukiwa kimya. Hakika hili bom likija kulipuka miaka kadhaa ijayo, hakutakuwa na kitu cha kuuzima. Maana hakuna rika linalojua kukopi na kupaste na kufanya majaribio kama wanafunzi wa shule za sekondari.
 
Heshima yako mkuu mshana.... swali langu moja tu hapo... unataka kusema alikua anaigiza kushindwa kukaa 100% ? Na sio kwamba wamemfanyia ya kumfanyia huko behind the scene ?
Hapana sijasema hivyo bali nimejaribu kuweka mashaka
 
Kwa akili za yule bint nilivyoona itakuwa watu walimfanyia sherehe huko mahabusu kwakumdanganya labda atatoka uraiani.Au yawezekana vile wamemuona kama punguwani walikuwa wakimla ****** wakimdanganya wanamfanyia vipimo kumbe wanajitosheleza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine ni mwanao alie kushida kulea ndo yamemkuta hao utakuwa kwenye hali gani
 
So we umeamini kuwa kafanyiwa vibaya Sasa hawezi kukaa. Mbona James katoka tena mbio . Kwa mzigo ule aliokuwa anaupokea nini jipya litamtokea. Acha kupenda udaku Wa Mange.
 
So we umeamini kuwa kafanyiwa vibaya Sasa hawezi kukaa. Mbona James katoka tena mbio . Kwa mzigo ule aliokuwa anaupokea nini jipya litamtokea. Acha kupenda udaku Wa Mange.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dada huna binamu huna alie shindikan kuleleka
Ninao dada wengi sana, ndugu wengi sana, jamaa wengi sana, marafiki wengi sana, majirani wengi sana, na watanzania wengi sana ninaofahamiana nao sijawahi kuona kati ya hao wote mmoja mwenye tabia kama hizi... Hakuna..!!!
 
Powa ila haiwezekan akakosekana mtu kama huyu ila so kwa matendo haya ila kwa tabia karibia na hii najua unaruka kihunz
 
Jaribun kuuvaa uhusika "umber rutty n mtoto wa marehem Dada yako"
Hili swala n pana sana jambo mnalijbu kimihemko tu
 
Powa ila haiwezekan akakosekana mtu kama huyu ila so kwa matendo haya ila kwa tabia karibia na hii najua unaruka kihunz
Nobody is perfect but percentage matters...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…